Marehemu Dkt. Mengi alikuwa na mdogo wake hospitalini kabla ya mauti kumfika - Kikwete

hata wakati wa msiba wa Ruge wa clouds nakumbuka JK aliiambia dunia kwamba marehemu Ruge ameacha watoto wawili...nadhani baada ya hapo hata huyo JK mwenyewe alikuja baki kinywa wazi baada ya kuujua ukweli wenyewe, funzo - tujifunze kutunza akiba ya maneno!!!.
 
Kizazi cha leo sio ajabu kusikia uwezo wa kufikiri unashuka


Yaani kabisa mpumbavu mmoja anaamini katika Mange
Huyo dogo atakuwa Kula Kulala tu Mkuu, Mwanaume gani amekaa kimbea mbea namna hiyo? Sina hakika kama anao ufahamu wa sera ya VIWANDA vya ndugu Magu huyo.
 
Hiki kizazi kinachotegemea na kuamini taarifa za mange ndo tunategemea kituletee Tanzania ya Viwanda!

Tanzania Tanzania, vijana wako tunakwama wapi?
Haya yote yalikuwepo enzi na enzi, kwa namna moja au nyingine. Tofauti iliyopo sasa ni njia za kueneza habari tu zimerahisishwa.
 
Nakushauri omba sana upate kuwa na critical reasoning. The Flow of your Argument haina chembechembe ya mahusiano na facts Bali majungu na wapiga majungu na wapokeaji majungu ....mob as criteria ya ukweli wa habari
Hahahahaaa

Umesema wewe,na upo sahihi kwa upande wako....

I give you that!

Ila mimi naona nipo sahihi,na sio lazima unifate!
 
Kikwete naye... Sasa yeye ni msemaji wa familia ya Mengi? Angetulia tu aachane na hizo hbr. Ndo yale yale ya kuisemea kenya na rwanda.
 
Jakaya kwa kujifanya anayajua ya familia HAJAMBO, kwenye msiba wa Ruge alituambia marehemu kaacha watoto wawili, kuja kusomwa historia watoto ni watano.. Mkwere bana hata akiwa na madaraka na elimu porojo haziachi...mdogo wake alienda na Regina wakati hali imeshakuwa mbaya sasa kuwepo kwake huko Kikwete anataka kutuambia nini labda?
umemuelewa kikwete wewe ? huyo ni mzee anayeheshimika sana ndani na nje ya nchi, kama mzee ametoa tu ushauri hajajifanya anajua, sisi wenye akili tunajua kikwete hajaegemea upande wowote
 
JK was wrong. Aache uswahili. Just because alikuwa Rais huko nyuma haimfanyi kuwa msemaji wa familia ya Mengi, hata kama wanafahamiana. Inaweza kumuingiza matatizoni endapo baadaye utabainika kuwa kweli "kuna namna" kwenye kifo cha Mengi.

Twajua JK is good friends wa Jackie (Mrs Mengi) lakini anapaswa kuwa na busara ya kutojifanya mtetezi wake.

On the other hand, Kamanda Sirro ameongea kitu cha maana kuwa polisi watafanyia kazi hizo taarifa zilizozagaa kuhusiana na kifo cha Mengi.

Unfortunately, there are plenty of motives for someone to have Mengi terminated. Kwa wenye kumbukumbu watakumbuka yaliyoongewa baada ya kufunga ndoa na huyo ex-Miss Tanzania - the honeypot stuff.

Kwahiyo ni vema JK akakaa kimya lest he become a suspect too. Kukaa kimya nako ni busara.
 
Kikwete kaongea maneno ya kiutu uzima, kaongea kwa busara.
Wakati wa kipindi hiki cha majonzi siyo vizuri kuspread rumours, unaweza kuhatarisha maisha ya watu wengine.
Habari za Mange katika hili haziko verifiable, ni habari tu, huenda maadui wa Jacky wameamua kumtumia Mange kufanya character assasination dhidi ya Jacky..
Mwisho, Mtume Muhammad alisema kuwa Zinaa ni deni na ni lazima litalipwa tu. Kama Mengi alikuwa akimcheat mke wake wa Kwanza basi na yeye Kalipiziwa kisasi kucheatiwa mke wake mpya vilevile (kama kweli Jacky alikuwa na mtu wa pembeni)
 
Back
Top Bottom