Marehemu Dkt. Mengi alikuwa na mdogo wake hospitalini kabla ya mauti kumfika - Kikwete

Sasa Kikwete kakupa mwanga gani? Jiongeze acha upoyoyo
Neno "upoyoyo" lina ukakasi! Hivi huna lugha nyingine mbadala ya kufikisha ujumbe? Mtu mwema hujulikana kwa matendo na lugha yake. Halikadhalika mtu mwovu hujulikana kwa matendo na lugha yake. Neno lina ukakasi jamani nashindwa kulimeza na hivyo nakurudishia mwenyewe. Ati poyoyo. I'm sorry if your halfminded.
 
Back
Top Bottom