Nimemsikia Rais Mstaafu Dkt. Kikwete katika taarifa ya habari ITV akisema kuwa Marehemu Dkt Mengi alikuwa na mdogo wake (Mengi) hospitalini pamoja na wanafamilia wengine kabla ya kifo chake.
Hivyo akawataka watu wajihadhari na taarifa zinazozushwa kuhusu sababu za kifo hicho.
Nadhani kwa kauli hii ni vema kujizuia kuzungumzia au kuandika chochote kuhusu rumors za kifo hiki kusubiri taarifa ya wanafamilia kwa kuwa wao wana taarifa kamili.
Kufanya vinginevyo kunaweza kuwaumiza sana wana familia hasa kama kinachosemwa ni uongo.