Marehemu Augustino Mrema ndiye Waziri wa Mambo ya Ndani pekee mpaka majambazi walijisalimisha

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,723
Marehemu Augustino mrema kipindi yupo wizara ya mambo ya ndani 1990-1994. Watu walikiona cha moto ijalishi ni nani mpaka kufikia majambazi wengi kujisalimisha.

Kuna mambo mengi wizara ya mambo ya ndani kaweka mchango mkubwa sana japo historia ijapata kuandikwa kwa mema aliyofanya. Na mwisho wa kumalizika kama waziri mauji ya kimbari Rwanda.

Tunaomba waliomfahamu.
images%20(41).jpg
 
Halafu hii ishu ya mtu kusema nilikuwa jambazi nimejisalimisha imekaaje? Ina maana hakuna hata kesi iliyowahi kufunguliwa? Au haiwezekani kumkamata na kumfungulia kesi baada ya kujisalimisha? Jinai inakufa baada ya mtu kujisalimisha? Nimeona wengine wanafanya hadi mahojiano kwenye media kujinadi kwamba walikuwa majambazi.
 
Hao wanatakiwa kukamatwa na kufunguliwa kesi kwa waliyo yafanya,kama kusamehewa basi akasamehewa na Court of Law ndio yenye mamlaka hayo.
 
Halafu hii ishu ya mtu kusema nilikuwa jambazi nimejisalimisha imekaaje? Ina maana hakuna hata kesi iliyowahi kufunguliwa? Au haiwezekani kumkamata na kumfungulia kesi baada ya kujisalimisha? Jinai inakufa baada ya mtu kujisalimisha? Nimeona wengine wanafanya hadi mahojiano kwenye media kujinadi kwamba walikuwa majambazi.
Sheria haipo ivo.

Kama huamini kajisalimishe kwa kosa ambalo hujafanya uone kama utafungwa jela.

"every party bears the duty to prove the facts on the balance of probability"

Evidence matters
 
Ndio maana nchi inahitaji katiba mpya ili utupe taasisi bora na huru, Mh.Mrema mambo mengi aliyafanya bila kufuata sheria, sungusungu haikuwepo kisheria ndio maana SC Lamwai alimshinda mahakamani kuhusiana na case ya sungusungu, but binafsi alinivutia mno na almost middle class yangu tumeingize ikulu (Nyerere aliminya haki halafu eti wanafiki wanataka atangazwe mwenye heri!)
 
Hueleweki unasimamia wapi ?

USSR
 
Back
Top Bottom