Marcus Cicero: Yeyote anayejaribu kuongoza nchi kwa kutumia hofu ni mwehu

“ Narudia kukuambia, kutumia hofu kujikita mamlakani hutadumu. Lakini Kiongozi anayehifadhi matumaini ya watu ni salama na hudumu.

Wale watawala wanaopenda kuwadhibiti watu wao kwa nguvu lazima watumie njia kandamizi kama ambavyo bwana lazima afanye kwa mtumwa wake anayetaka kuasi. Yeyote anayejaribu kuongoza nchi kwa kutumia hofu ni mwehu. Mtawala dhalimu hata ajaribu namna gani kupinda sheria na kuvunja Uhuru wa watu, baada ya muda watu wataamka kwa nguvu kuudai Uhuru ama kwa mapambano au sanduku la kura. Uhuru uliokandamizwa hurudi kwa makali zaidi.
Kumbuka WEMA ni bora kuliko HOFU. Ndio kitu bora zaidi katika kuendesha nchi na hata maisha binafsi.”

Haya ni maneno ya Marcus Cicero, mtawala na mwanazuoni wa Jamhuri ya Roma. Alichukia kuona haki za watu zinabinywa na alipinga utawala wa mtu mmoja dhidi ya wawakilishi wa Wananchi. Kwa Cicero utawala wa mtu mmoja, hata awe na uwezo wa mfano wa Julius Caesar ni mwaliko wa gharika maana mamlaka yasiyo na mipaka hupofusha hata watu wema.

Soma How to Run a Country- an ancient guide for modern leaders by Marcus Tullius Cicero
Na anayeongoza kwa mapepo kama wewe ni nani?
 
Mimi siyo kama wewe unayesujudia watu. Mimi sichangii mada kwa hasira za kufeli katika maisha na kuzihamishia kwa serikali. Mimi nasema ukweli na ndiyo maana ungekua na kichwa cha kufikiri ungenielewa lakini hasira za maisha zimetoa ufahamu wa baadhi ya watu.

Na hili ni tatizo kubwa maana watu kama ninyi ni rahisi sana kurubuniwa na tapeli kama Trump alivyowatapeli wamarekani wakidhani anasafisha dimbwi kumbe anaongeza mamba.
Sina utetezi wowote kwa Magufuli kana wanaomlaumu wanatuambia nini watakifanya. Na ndiyo lengo la upinzani. Hii kazi ya kumtukana rais awaachie watunkama wewe wenye hasira na kufrli kwa maisha yenu. Huwezi kuwasaidia watu kwa kuwaambia Magufuli ni mshamba sijajua kama hiyo ni sera mojawapo ya ACT.

Acha kujishuku hakuna mahali nimemtaja Magufuli, unasema huna hasira ya kufeli maisha ila majibu yako yamejaa jazba. Ww unaishi kwa kujipendekeza ili watoto wako waende choo na wala huna mafanikio yoyote zaidi ya kuajiriwa na wanaume wenzio.

Zitto anakosoa kwa hoja na hoja zake zinaonekana, huyo unayejipendekeza kwake hana hoja, anatumia nguvu nyingi kulazimisha mambo. Uchumi sasa hivi unadondoka, ahadi zinashamiri na njia pekee ni kuzuia vyombo vya habari kuongea ukweli ulivyo. Huyo Zitto usiyemuunga mkono hahitaji kuungwa mkono na watu wanaoishi kwa kujipendekeza hoja zake zinajibeba.
 
kama kiongozi ananyanyasa watu wake kwa sababu za kisiasa lazima tuseme.hii nchi siyo mali ya mtu mmoja.

Hata awamu iliyopita kulikuwa na malalamiko ya aina hii hii, lakini baada ya kuisha kwa awamu ile, tumewasikia the same people wakiisifia awamu ile.

Kama viongozi wale wale wanakuwa vinyonga, sisi wananchi unataka tuwaamini wanachokisema.

Kimsingi hawana mwelekeo
 
Dkt John aendelee kumwagia Mafuta kwny Shimo, Vitoto vya Nyoka vitajitokeza vyenyewe!

Zitto ashughulikie kwanza Mgogoro wa Wafanyabiashara soko la Kigoma walipandishiwa Kodi ya pango kutoka elf 15 mpaka 50
Serikali iyo iyo dhalim ambayo zito anaipinga ndo imewapandishia kodi na kusababisha hyo migogoro afu unaona ni jukum la zito kutatua. Hivi ni nan mwenye jukum la kuboresha maisha na utawala bora kwa wanachi wake kat ya serikali na zito. Serikali hii imejaa kiburi, makusud, chuki na manyanyaso kwa wananchi wake tofaut kabsa ma malengo ya uanzishwaji wa serikali yoyote duniani. Yan serikali ilete matatzo kwa wananchi wa kwa makusudi na kiburi afu liwe jukum la mbunge kutatua zats insane.
 
“ Narudia kukuambia, kutumia hofu kujikita mamlakani hutadumu. Lakini Kiongozi anayehifadhi matumaini ya watu ni salama na hudumu.

Wale watawala wanaopenda kuwadhibiti watu wao kwa nguvu lazima watumie njia kandamizi kama ambavyo bwana lazima afanye kwa mtumwa wake anayetaka kuasi. Yeyote anayejaribu kuongoza nchi kwa kutumia hofu ni mwehu. Mtawala dhalimu hata ajaribu namna gani kupinda sheria na kuvunja Uhuru wa watu, baada ya muda watu wataamka kwa nguvu kuudai Uhuru ama kwa mapambano au sanduku la kura. Uhuru uliokandamizwa hurudi kwa makali zaidi.
Kumbuka WEMA ni bora kuliko HOFU. Ndio kitu bora zaidi katika kuendesha nchi na hata maisha binafsi.”

Haya ni maneno ya Marcus Cicero, mtawala na mwanazuoni wa Jamhuri ya Roma. Alichukia kuona haki za watu zinabinywa na alipinga utawala wa mtu mmoja dhidi ya wawakilishi wa Wananchi. Kwa Cicero utawala wa mtu mmoja, hata awe na uwezo wa mfano wa Julius Caesar ni mwaliko wa gharika maana mamlaka yasiyo na mipaka hupofusha hata watu wema.

Soma How to Run a Country- an ancient guide for modern leaders by Marcus Tullius Cicero
Tangu afuge ndevu.....akili zake si Sawa!
 
3 yrs down 2 to go, hopefully he will have another five..Hahahahaa! Magufuli kaza babaaaa wezi walikuwa wengi sana.
 
Hata awamu iliyopita kulikuwa na malalamiko ya aina hii hii, lakini baada ya kuisha kwa awamu ile, tumewasikia the same people wakiisifia awamu ile.

Kama viongozi wale wale wanakuwa vinyonga, sisi wananchi unataka tuwaamini wanachokisema.

Kimsingi hawana mwelekeo
awamu iliyopita hakukuwa na malalamiko ya watu kuuliwa kupotea na kukamatwa hovyo acha uongo.
 
Dkt John aendelee kumwagia Mafuta kwny Shimo, Vitoto vya Nyoka vitajitokeza vyenyewe!

Zitto ashughulikie kwanza Mgogoro wa Wafanyabiashara soko la Kigoma walipandishiwa Kodi ya pango kutoka elf 15 mpaka 50
Ashughulikiwe vipi wakati amesema hayo ni maneno ya mwanazuoni wa Roma?, basi mshughulikieni huyo mwanazuoni wa Roma.
 
Zitto acha danganya toto yako,ACT ni tawi la chadema au ccm?
Kama kweli mwanaume kama akina "afadhali ya mkoloni" enzi zetu fanya maadamano hadi Ikulu na ujumbe wako tutambue kweli wewe ni mwanaharakati orignal.
Lakini tweets zako ni dalili ya woga,na Magu aishaapa kuwa hageuki nyuma,hadi muishi kama mashetani na hii ni part gazeti tu.2018 ndio tunaanza premium league.itakayoendelea hadi 2025
 
awamu iliyopita hakukuwa na malalamiko ya watu kuuliwa kupotea na kukamatwa hovyo acha uongo.
Mwangosi alikufa kipindi gani?
Kibanda, Dr Ulimboka nk ilikuwa awamu ipi? mauwaji ya soweto yalikuwa awamu ya tano? wale waliokufa Arusha kwenye maandamano, yote hayo yalikuwa awamu hii?

Fuatilia matukio vizuri ili ulinganishe, mkuu. ndiyo maana nikasema wanasiasa acheni kuchanganya watu
 
Back
Top Bottom