March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

je na sisi watanzania tunashabikia chama ama sera? kenya hawaangalii chama kwa kuwa tumeona vyama tofauti vikishika hatamu,tanzania sisi udhaifu ni ktk chama.wakisimama na kusema mbio zetu toka enzi za uhuru basi wote huko kwenye hicho chama and viceversa

mm sioni sababu ya kuwasifia wakenya kwamba wamekomaa kisiasa,kujitokeza kwao kwa wingi kupiga kura kumbe ni ukabila ndio umewafanya waitikie mwito kwa kiwango kikubwa,wameacha kuangalia sera za mgombea na kukumbatia ukabila,lini nchi zetu za Africa hasa kusini mwa jangwa la sahara tutafikia mkakati wa kuondokana na umaskini?
TRIBALISM and RELIGIOUS DIFFERENCE ina uhusiano gani na maendeleo ya kiuchumi kwa nchi husika? .....pumbavu kabisa EAST AFRICA yote
 
there is no way Raila ataongoza. nachoweza ombea kama shabik wa odinga ni kupunguza gap ili uhuru awe below 50% twende duru ya pili ya uchaguz.
 
Hao jamaa hatari kwenye kuhamisha kura, wakiingia hao unafikiri sanduku litabaki na kitu? Wataleta za kwao zilishapigwa na mtazihesabu.

Mwisho wa siku hawajui rais alishinda kwa kula ngapi! Shame on you CCM! Nchi imesambaratika, wajawazito na vichanga vinanifia mikononi kila siku, hakuna dawa, hakuna vifaa tiba, hakuna kadi za wajawazito na watoto, kafa mjazito sasa hivi kisa gari la wagonjwa halina mafuta huku wakubwa DMO,etc wapo kwenye kikao wanajilipa posho! mamaaaaaaa acha nilie mimi labda hasira zitapungua.....!
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

habiba mchange, urais wa zitto ni wa kupitia chadema
 
Police ajipiga risasi kichwani katika kituo cha kuhesabia kura wilayani Kisii mkoani nyanza Kenya
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Mbona hujamtaja Dk Bilal ?
 
Ukimdharau Rais wako hata wewe umejidharau. Nafasi hiyo kaka ni kubwa mno ambayo ni wachache ndio wataipata. Tatizo wengi mkumbo wa kiitikadi ndio unaowapoteza na kutoona mazuri ya itikadi zingine. Nawaomba tuheshimu mamlaka zilizojuu yetu.
Mbona nyerere hatujamdharau,mwinyi,mkapa mbona husemi?tatizo lenu magamba mnasifia hata uozo,mtu ni dhaifu kwenye uongozi tumsifie kwani hiyo nafasi ni maalum kwa ajili yake?kama ameshindwa uongozi (kama ambavyo ameshindwa) he must go..aende akaongoze familia yake huko sio kukaa na kusifiana kinafiki hapa...matatizo chungu nzima ya nchi hii hamuyaoni...
 
Tusiwe na haraka.

Kazi ya kuhesabu kura pamoja na kurekebisha dosari zilizojitokeza katika maeneo mbalimbali inaendelea.

Hata wakenya wenyewe bado hawajaanza kubashiri nani mshindi kwa sababu zile ngome kuu za washindani hesabu yake bado.

Idadi iliyohesabiwa mpaka sasa ni ndogo ukizingatia mwamko na wingi wa watu waliojitokeza kupiga kura this time.

Tuwe na subira, tuache kujenga hisia za ushindi au kushindwa mapema. Hupelekea athari mbaya.
 
namanyele. Its true my comrade,there is a confused definition of democratic election in Africa.I remember, it was the last month when the religious group in Mombasa declared to support Raila Odinga then they adjourn at the end to join Jubilee, I used to ask myself what kind of democracy it is when ethnic or religious group are confiscating peoples right on electing a "right candidate or a political party"? But,later I realized there is no definite meaning of democracy because what guides us in comprehensive desicion making comes from our social beliefs,ethnicity and geographical boundaries out of our free will!
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitabiri, ila mshindi hapo Kenya ni R Odinga!! Matokeo yaliyopo sasa ni ya vituo 10,000 tu, kati ya vituo 33000!! Kulikobakia kuna wafuasi wengi wa Odinga! Kwa hiyo hakuna ubishi hapo!!!

Unjua maeneo yote karibu na Nairobi matokeo tayari..........na ndipo penye watu wengi sana na ni pro UhuRuto....nadhani Raila kapigwa bao tayari......ukabila mbaya sana yaani yule mama ana kura 14,000 tu......hata wanawake wenziye?

Mapa-de-los-Grupos-etnicos-de-Kenia-6147.jpg
 
citizen live 3:10
UHuru 2614446
Raila 2017746

wadadisi wa mambo wanasema kupitia citizen kuwa bado ni ngumu kusema chochote kwa mfumo wa utoaji wa matokeo

Kwa sisi ambao hatusikii au kuona LIVE hiyo tofauti ya 500,000 hadi 600,000 imedumu muda mrefu sana kiasi cha kufikiri huenda ikabaki hivyo hadi mwisho. LAKINI HATUJUI HUKO KULIKOBAKI NI KAMBI YA NANI. Lets keep on waiting.
 
Back
Top Bottom