Marasta kumkumbuka Bob Marley leo

Mkuu Van dick sikubaliani na wewe kabisa kwanza bangi siyo dawa ya kulevya, ganga is a weed like other vegetables you know. Pili kila moja na uhimili wake wa kukontrol kitu mfano ujawahi kunywa pombe then ujaribu kunywa lazima ikutese tu ila wazoefu wanadunda tu. Mi bang kama kawa nikiwa bongoland napiga kitu cha Arusha toka mlima Meru nikiwa hapa kuna jamaa latino anatuletea original weed frm Jamaica. RIP BOB.

 
Last edited by a moderator:

Uko vizuri kiongozi,salute.
 
Sisi uku tumesikiliza nyimbo zake na tafakari nyingi,, R.I.P Bob marlery........... <the lenged>
 
Nimemsikia ras mmoja akihojiwa ktk radio moja akanichafua na kuniharibia siku,ufahamu wake ni mdogo sana,bangi tu kichwani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…