We ndugu yake shemeji wa Wilaya Ali kinanasi yet unajifanya mwana CDM kindakiHujui kitu wewe , Shut up !
safi sana..Msikilizeni Martin Masese Maranja.
Najifanyaje sasa ? utachekwaWe ndugu yake shemeji wa Wilaya Ali kinanasi yet unajifanya mwana CDM kindaki
Muwe mnatenda yale mnayotaka mtendewe. Unataka uhuru wa kutoa maoni ila kumbe unataka kusikia yale unayoyapenda tu. CHADEMA ina watu wa hovyo mno.Unajua maana halisi ya UCHAGUZI? Sasa kama unajua maana ni lini umeona uchaguzi ukifanyika?
Sometimes mijadala na akili kama zako ni kujichosha tuu
..Msikilizeni Martin Masese Maranja.
Kama hujalogwa basi labda utakuwa ulizaliwa na ugonjwa wa kurithiHawa jamaa wanaojua kuandika ni wabovu mno kwenye kuongea mbele ya watu. Hata CCM tuna Erick Shigongo ambaye ni mwandishi mzuri ila kuongea ni tatizo. Huyu Martin kigugumizi kitupu na hana point kabisa.
Mama yako anajua.Kama hujalogwa basi labda utakuwa ulizaliwa na ugonjwa wa kurithi
sasa mama si ni wewe hapo kwenye id yako au ?Mama yako anajua.
Sikiliza kwa makini kidogo. JF ina slogan ya "The home of great thinkers" na ili kuitendea haki ni kuhakikisha utoapo hoja yako hapa iwe kama ya wenyeji wa kaya hii, yaani great thinkers.Muwe mnatenda yale mnayotaka mtendewe. Unataka uhuru wa kutoa maoni ila kumbe unataka kusikia yale unayoyapenda tu. CHADEMA ina watu wa hovyo mno.
Kama unaandika ujinga akufanyaje.Sio watu wote wanapenda kusoma ujinga.Martin ni mtu wa hovyo na sio mwanasiasa. Ukimzidi hoja mtandaoni anachokimbilia ni block. Hiyo tabia mbaya pia anayo Malisa GJ. Bahati nzuri hao vijana wawili hawakubaliki kabisa kwenye siasa zile halisi za nje ya mtandao. Angalau Yeriko Nyerere ndo anaweza kuvumilia hoja pinzani.. CHADEMA wengine hawana uvumilivu wa kisiasa kusikiliza mawazo tofauti wakiongozwa na Martin na Malisa GJ.
Wewe unawaza uchaguzi tu wakati maendeleo hakuna.Ndo maana CCM itaendelea kuwagaragaza kila uchaguzi. Mnahubiri kitu ambacho mnafanya tofauti kabisa kwa vitendo.
Sijajua unamlenga nani Kati ya hawa wawili (mtangazaji na mgeni), ila bila ushabiki;Hawa jamaa wanaojua kuandika ni wabovu mno kwenye kuongea mbele ya watu. Hata CCM tuna Erick Shigongo ambaye ni mwandishi mzuri ila kuongea ni tatizo. Huyu Martin kigugumizi kitupu na hana point kabisa.
Huko Ufipa kuna maendeleo gani kwenye ngazi ya chama?Wewe unawaza uchaguzi tu wakati maendeleo hakuna.
mlevi mwenye busara aliwapeleka puta wazee wa PGOKama ni mlevi,aliwezaje kuripoti ile kesi ya akina Mbowe kwa spidi kali vile?
Nijulishe hata walevi watatu,ambao wana uwezo unaoshabihiana na wa yule jamaa,alitisha Sana,ni mlevi wa aina yake kwakweli.