Mvulana wa Sinza kumwita MMM sio bureHuyu chawa wa Mbowe ana ushamba mwingi sana kumbe anatokea Serengeti... Nilikuwa naona pigo zake twitter nikawa najiuliza huu uporipori background yake ni nn sasa nshaelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen ameenMungu mbariki MMM na Chadema kwa ujumla
Kama ni mlevi,aliwezaje kuripoti ile kesi ya akina Mbowe kwa spidi kali vile?Mlevi huyo anaenda kuongea nn? Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza
[emoji38][emoji38][emoji38]Kama ni mlevi,aliwezaje kuripoti ile kesi ya akina Mbowe kwa spidi kali vile?
Nijulishe hata walevi watatu,ambao wana uwezo unaoshabihiana na wa yule jamaa,alitisha Sana,ni mlevi wa aina yake kwakweli.
Vipi unakereka?Kumbe wewe ndiyo maranja...maana twita uko bize Kama huku na mrengo ni ule ule
Atamtaja KingaiKama ni mlevi,aliwezaje kuripoti ile kesi ya akina Mbowe kwa spidi kali vile?
Nijulishe hata walevi watatu,ambao wana uwezo unaoshabihiana na wa yule jamaa,alitisha Sana,ni mlevi wa aina yake kwakweli.
Huyo jombaa mlugaluga sanaMvulana wa Sinza kumwita MMM sio bure
[emoji23][emoji23][emoji23]
😳Huyu chawa wa Mbowe ana ushamba mwingi sana kumbe anatokea Serengeti... Nilikuwa naona pigo zake twitter nikawa najiuliza huu uporipori background yake ni nn sasa nshaelewa😂😂😂
Ujinga kipaji. Hongera kwa kuwa nachoHuyu chawa wa Mbowe ana ushamba mwingi sana kumbe anatokea Serengeti... Nilikuwa naona pigo zake twitter nikawa najiuliza huu uporipori background yake ni nn sasa nshaelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Martin avae nguo za mochwari kweli ! sidhani .Huyo mwenye nguo za kijani ndio MMM
🤣🤣🤣🤣Yaani Martin avae nguo za mochwari kweli ! sidhani .
we unaonaje kwani ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hujui kitu wewe , halafu mara kadhaa nimekuonya[emoji23][emoji23][emoji23] Ati Kiboko wa Kingai. huruma ya Bi Mdashi gaidi alikua anakwenda Lupango.
Katolewa kawa mpole kama nesi wa zamu!
GaM
Huruma ya Bimdashi aibu kwa Watunza Legasi[emoji23][emoji23][emoji23] Ati Kiboko wa Kingai. huruma ya Bi Mdashi gaidi alikua anakwenda Lupango.
Katolewa kawa mpole kama nesi wa zamu!
GaM
Akikublock na wewe mblockMartin ni mtu wa hovyo na sio mwanasiasa. Ukimzidi hoja mtandaoni anachokimbilia ni block. Hiyo tabia mbaya pia anayo Malisa GJ. Bahati nzuri hao vijana wawili hawakubaliki kabisa kwenye siasa zile halisi za nje ya mtandao. Angalau Yeriko Nyerere ndo anaweza kuvumilia hoja pinzani.. CHADEMA wengine hawana uvumilivu wa kisiasa kusikiliza mawazo tofauti wakiongozwa na Martin na Malisa GJ.
Ile speed ni kipaji kutoka kwa Mungu.Kama ni mlevi,aliwezaje kuripoti ile kesi ya akina Mbowe kwa spidi kali vile?
Nijulishe hata walevi watatu,ambao wana uwezo unaoshabihiana na wa yule jamaa,alitisha Sana,ni mlevi wa aina yake kwakweli.
Kuna tofauti ya uvumilivu wa kisiasa na uvumilivu wa ujinga. Hao uliowataja hawana uvumilivu na wajinga maana hata maandiko yamekataza kukaa barazani pa wapumbavu.Martin ni mtu wa hovyo na sio mwanasiasa. Ukimzidi hoja mtandaoni anachokimbilia ni block. Hiyo tabia mbaya pia anayo Malisa GJ. Bahati nzuri hao vijana wawili hawakubaliki kabisa kwenye siasa zile halisi za nje ya mtandao. Angalau Yeriko Nyerere ndo anaweza kuvumilia hoja pinzani.. CHADEMA wengine hawana uvumilivu wa kisiasa kusikiliza mawazo tofauti wakiongozwa na Martin na Malisa GJ.