Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,532
- 42,697
Mwalimu ikifika uchaguzi unalanguliwa na CCM leo unalia lia.Mlevi huyo anaenda kuongea nn? Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza
Mwalimu ikifika uchaguzi unalanguliwa na CCM leo unalia lia.Mlevi huyo anaenda kuongea nn? Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza
Ndo maana CCM itaendelea kuwagaragaza kila uchaguzi. Mnahubiri kitu ambacho mnafanya tofauti kabisa kwa vitendo.Kuna tofauti ya uvumilivu wa kisiasa na uvumilivu wa ujinga. Hao uliowataja hawana uvumilivu na wajinga maana hata maandiko yamekataza kukaa barazani pa wapumbavu.
Jitu linajitokea huko CCM linakuja kwenye mjadala wa maana hafafu linachangia upumbavu wake kuna haja ganikuendelea nalo? Unaliblock, maana pengine ingekuwa ana kwa ana lingestahili kulipiga rungu la kichwa. Wako sahihi kabisa
Na hasa kama Tume ya uchaguzi itaongozwa na Mtukufu MaheraKwa akili hizi CCM wataongoza Milele!
Kesho utapewa wewe.Huyo naye anapewa airtime? Hovyo kabisa,
AmenCHADEMA NI NGUVU YA MUNGU.. [emoji3577]
saa 3 unusu usiku , mitandao yote itakuwa hewaniNakuuliza mleta nyuzi hii, nilitamani kupata nondo za huyo Kamanda ila nipo mbali na tv, je nawezaje nikapata hayo mahojiano kwa muda huo kupitia cm yangu janja?
Mnapenda sana kiki. Kwa hiyo hii nayo ni GREAT THINKING?!Martin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi wa uongo aliyobambikiwa Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , kiasi cha KUGUNDULIKA KWAMBA AFISA WA POLISI ACP KINGAI KUMBE HAJUI LOLOTE KUHUSU PGO , ambao ndio mwongozo wa Jeshi la Polisi Tanzania , Kesho atatikisa tena dunia atakapokuwa kwenye kipindi kinachoitwa Medani za siasa huko STAR TV .
Ni Jumamosi tarehe 03/09/2022 , saa 3 unusu usiku , kwa saa za Tanzania , Hapa sasa ndio utaelewa Tofauti ya BAVICHA na UVCCM
View attachment 2343393
Wote Mnakaribishwa .
Karibu sanaMnapenda sana kiki. Kwa hiyo hii nayo ni GREAT THINKING?!
CHADEMA bhana angekuwa ni NAPE ndiyo kaenda huko ungesikia HIVI STAR TV BADO IPOKaribu sana
Usilalamike , fungulia Star Tv upate Nondo za Uhakika .CHADEMA bhana angekuwa ni NAPE ndiyo kaenda huko ungesikia HIVI STAR TV BADO IPO
Unajua maana halisi ya UCHAGUZI? Sasa kama unajua maana ni lini umeona uchaguzi ukifanyika?Ndo maana CCM itaendelea kuwagaragaza kila uchaguzi. Mnahubiri kitu ambacho mnafanya tofauti kabisa kwa vitendo.
[emoji38][emoji38][emoji38]Unajua maana halisi ya UCHAGUZI? Sasa kama unajua maana ni lini umeona uchaguzi ukifanyika?
Sometimes mijadala na akili kama zako ni kujichosha tuu