Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,389
- 289,517
🤣🤣🤣🤣Martin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi wa uongo aliyobambikiwa
Mungu mbariki MMM na Chadema kwa ujumlaMartin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi wa uongo aliyobambikiwa Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , kiasi cha KUGUNDULIKA KWAMBA AFISA WA POLISI ACP KINGAI KUMBE HAJUI LOLOTE KUHUSU PGO , ambao ndio mwongozo wa Jeshi la Polisi Tanzania , Kesho atatikisa tena dunia atakapokuwa kwenye kipindi kinachoitwa Medani za siasa huko STAR TV .
Ni Jumamosi tarehe 03/09/2022 , saa 3 unusu usiku , kwa saa za Tanzania , Hapa sasa ndio utaelewa Tofauti ya BAVICHA na UVCCM
View attachment 2343393
Wote Mnakaribishwa .
aminaMungu mbariki MMM na Chadema kwa ujumla
Umeelewa nini sasa , mbona mimi natokea kanda ya nyasa , wewe umenielewaje ?Huyu chawa wa Mbowe ana ushamba mwingi sana kumbe anatokea Serengeti... Nilikuwa naona pigo zake twitter nikawa najiuliza huu uporipori background yake ni nn sasa nshaelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui kitu wewe , Shut up !Star tv wameishiwa, wamefikia kuokota okota vijitu mitaani
Huyo naye anapewa airtime? Hovyo kabisa,Hujui kitu wewe , Shut up !
Mungu ibariki CHADEMAMartin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi wa uongo aliyobambikiwa Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , kiasi cha KUGUNDULIKA KWAMBA AFISA WA POLISI ACP KINGAI KUMBE HAJUI LOLOTE KUHUSU PGO , ambao ndio mwongozo wa Jeshi la Polisi Tanzania , Kesho atatikisa tena dunia atakapokuwa kwenye kipindi kinachoitwa Medani za siasa huko STAR TV .
Ni Jumamosi tarehe 03/09/2022 , saa 3 unusu usiku , kwa saa za Tanzania , Hapa sasa ndio utaelewa Tofauti ya BAVICHA na UVCCM
View attachment 2343393
Wote Mnakaribishwa .
karibu sanaUandishi wako huwa naufurahia
Kwi Kwi KwiMlevi huyo anaenda kuongea nn? Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza
Who is this shit?Martin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi wa uongo aliyobambikiwa Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , kiasi cha KUGUNDULIKA KWAMBA AFISA WA POLISI ACP KINGAI KUMBE HAJUI LOLOTE KUHUSU PGO , ambao ndio mwongozo wa Jeshi la Polisi Tanzania , Kesho atatikisa tena dunia atakapokuwa kwenye kipindi kinachoitwa Medani za siasa huko STAR TV .
Ni Jumamosi tarehe 03/09/2022 , saa 3 unusu usiku , kwa saa za Tanzania , Hapa sasa ndio utaelewa Tofauti ya BAVICHA na UVCCM
View attachment 2343393
Wote Mnakaribishwa .
Who is this shit?