hii shule ni ya watanzania wote, wanasoma watoto kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii, WATANZANIA KWA UMOJA WETU TUICHANGIE SHULE HII MAALUMU YA KITAIFANyumbani kabisa kule jamani kama kuna mchakato wa kuchangia tujenge shule yetu muweke account number
vip jeshi la zimamoto lipo karibu? Au ndio mpaka litoke HimoNyumbani kabisa kule jamani kama kuna mchakato wa kuchangia tujenge shule yetu muweke account number
#watu mna roho za kwann, kwan kama kungekuwa siyo nyumbani usingechangia..Nyumbani kabisa kule jamani kama kuna mchakato wa kuchangia tujenge shule yetu muweke account number
Ile shule tuliijenga sisi watu wa marangu maana serikali ilikuja kuuchukua. Moshi shule tunajenga sisi serikali haitii mkono wake ila sasa shule ikishakamilika ndo serikali inakuja na kunyang'anya. Ni shule yangu ile na nilishaichangiahii shule ni ya watanzania wote, wanasoma watoto kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii, WATANZANIA KWA UMOJA WETU TUICHANGIE SHULE HII MAALUMU YA KITAIFA
Sipo hukovip jeshi la zimamoto lipo karibu? Au ndio mpaka litoke Himo
KWANINI MLIJENGA MABWENI JUU YA MAKABURI? MLIKOSA ENEO?Ile shule tuliijenga sisi watu wa marangu maana serikali ilikuja kuuchukua. Moshi shule tunajenga sisi serikali haitii mkono wake ila sasa shule ikishakamilika ndo serikali inakuja na kunyang'anya. Ni shule yangu ile na nilishaichangia
Tushawahi sema humu, wachaga ni wabaguzi saaana,... Wakubali wakatae,... Itabaki kuwa ukweli...#watu mna roho za kwann, kwan kama kungekuwa siyo nyumbani usingechangia..
#na sisi hatachangii sasa kwa kuwa siyo kwetu.
Jamani nilishiriki jamani kwenye harambee ya kuiboresha pale jamani alafu ni karibia na nyumbani kwetu#watu mna roho za kwann, kwan kama kungekuwa siyo nyumbani usingechangia..
#na sisi hatachangii sasa kwa kuwa siyo kwetu.
Ni sahihi kabisa, kila mtu atakula alikopeleka mboga.Tushawahi sema humu, wachaga ni wabaguzi saaana,... Wakubali wakatae,... Itabaki kuwa ukweli...
Moshi ardhi ni finyu ndo sababu ila twapenda shule karibu moshi na ikiwezekana mlete mwanao tutamlea vizuri huku hakunaga mimbaKWANINI MLIJENGA MABWENI JUU YA MAKABURI? MLIKOSA ENEO?
Tushawahi sema humu, wachaga ni wabaguzi saaana,... Wakubali wakatae,... Itabaki kuwa ukweli...
Huo ubaguzi ni upi wewe kusema mtoe account namba kwa ajili ya kuchangia bweni la watoto wa kike ili wasifanyiwe kitu kibaya ndo wabaguziTushawahi sema humu, wachaga ni wabaguzi saaana,... Wakubali wakatae,... Itabaki kuwa ukweli...
Waambia hawa watu nikishakaa Kwimba tukataka jenga shule moja tukashirikiana na mbunge wa kule lakini nilishangaa hakuna mwamko. Watu walikuwa wanalalamika kwamba wanabebeshwa matofali.Mchagga akisema nyumbani kwake kuna shule na imejengwa na wenyeji ndiyo imekuwa ubaguzi?
Vyasaka mna tabu sana, na hii tabu itabakia kwenu vizazi na vizazi.
Too inferior!