Marando: Tuna mengi ya Lowassa lakini kwa sasa tunakaa kimya

Marando: Tuna mengi ya Lowassa lakini kwa sasa tunakaa kimya

Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na mwanasheria guli nchini tanzania mabere nyaucho marandu ,amesema ukawa wana mambo mengi sana ya kuzunguza kuhusu lowasa lkn kwa sasa wameamua kukaa kimya kwa kuwa wamekaa kimya kimkakati.

Pili amesema wao wameamua kukaa kimya kuhusu lowasa kwa kuwa nape,po makonda,na makokongora nyerere kwa sasa wao wanafanya kazi ambazo zilitakiwa kufanya na ukawa

Hakuna jipya dhidi ya Lowasa nyie. Kawatia mfukoni
 
Kama Malando kweli kasema hivyo naye ana akili kama za Bavicha. Kelele za chura....

Asubiri CCM ipitishe mgombea wake, Lowassa au yeyote awaye, halafu azuie TSUNAMI kwa mikono!
WATZ TUMEISHAZIZOEA NA KUZICHOKA NYIMBO ZA UFISADI ZINAZOIMBWA NA MA'AGENT' WA MAFISADI NYANGUMI!
 
Huwa najiuliza Kwanini Lowassa tu humu? Yeye ndo mchafu kuliko wote? au yeye ndio anakubalika kuliko wote, je yeye ndio mti wenye matunda?
sijui lakini nadhani kuna tatizo mahali, si bure...
 
TUWAJADILI KWA HATI YA DHARURA1.Dr.Slaa alisema anawafahamu mafisadi na akataja orodha ya aibu(list of shame) viwanja vya mwembeyanga.Wapo waliotishia kumpeleka mahakamani akawaambia watangulieanakuja;wakafyata mkia.2.Lowassa akasema angezungumza ukweli wa Richmond Arusha.Hakuthubutu.3.Zitto akasema ana majina ya walioficha mabilioni Uswis na atayataja..........4.Dr.Jakaya akasema ana orodha ya vinara wa unga.......Kimya mpaka leo.
 
Lowassa akikatwa kuna vijana njaa maelfu watakufa kabisa. Wamezoea kukinga bakuli toka kwa jamaa.
 
Lowassa akikatwa kuna vijana njaa maelfu watakufa kabisa. Wamezoea kukinga bakuli toka kwa jamaa.
kweli tena nasikia wengi wa vyuo,aibu kwa wasomi hawa ,
wasubili kupewa taarifa kazi imeishamalizika
 
Wangekuwa nazo wangekuwa washaropoka mapema
 
Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na mwanasheria guli nchini tanzania mabere nyaucho marandu ,amesema ukawa wana mambo mengi sana ya kuzunguza kuhusu lowasa lkn kwa sasa wameamua kukaa kimya kwa kuwa wamekaa kimya kimkakati.
Pili amesema wao wameamua kukaa kimya kuhusu lowasa kwa kuwa nape,po makonda,na makokongora nyerere kwa sasa wao wanafanya kazi ambazo zilitakiwa kufanya na ukawa

Hofu kubwa ya cdm/ukawa ni kupitishwa kwa lowassa na ukwel ni kuwa jamaa anaungwa mkono mpk na baadhi ya wafuasi wa cdm. Na pia kule makanisani ambako mlipata kura 2010 safar hii zote kwa lowassa maana ana payroll kwa viongozi wa dini. Poleni sana marando
 
tangu 2008 aje kusema leo, hahaha na yeye alijazishwa upepo ndo mana karopoko, leta ushahd sio kuongea kila mtu anaweza ongea lake tokana na status yake
 
Ukishasema una mengi ya Lowassa lakini kwa sasa umekaa kimya, ushavunja ukimya huo.

Pia unaonesha huna haja ya kuwa mkweli zaidi ya kuendeleza siasa.
 
Makongoro ndio candidate pekee atakayesumbua UKAWA.
MIMI NI UKAWA MWANZO MWISHO

Ha ha ha.. mbinu za ukawa nimezipenda. ni sawa sawa na Simba na Yanga wanataka kucheza halaf Yanga wanawapangia Simba kuwa mchezesheni Makulumla huyu ndo atatufunga Msimchezeshe Malimboka huyu hatuwezi sisi. Hapo kama simba wana akili si wanajua mchezo ni nini?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na mwanasheria guli nchini tanzania mabere nyaucho marandu ,amesema ukawa wana mambo mengi sana ya kuzunguza kuhusu lowasa lkn kwa sasa wameamua kukaa kimya kwa kuwa wamekaa kimya kimkakati.

Pili amesema wao wameamua kukaa kimya kuhusu lowasa kwa kuwa nape,po makonda,na makokongora nyerere kwa sasa wao wanafanya kazi ambazo zilitakiwa kufanya na ukawa
Hakusema lowassa bali kwa wote waliotia nia au kuchukua fomu ndani ya ccm!
 
Ukishasema una mengi ya Lowassa lakini kwa sasa umekaa kimya, ushavunja ukimya huo.

Pia unaonesha huna haja ya kuwa mkweli zaidi ya kuendeleza siasa.

Amebuni mbinu ya kujipendekeza tu Kwa Lowasa pengine akidhani atapozwa , ebu jiulize Kati ya watangaza Nia woote yeye kamwona Lowasa pekee? Rushwa za Membe Safari hii zitaleta vioja vingi ! ccm woote watangaza Nia kila mmoja ana Skendo zake tena wapo wachafu kuliko inavyofikiriwa lakini Marando kaamua kuchukua Pesa Kwa Membe na kujitoa Fahamu hii ni kujidhalilisha mno.
 
Membe kawanunua wengi sasa imekuwa zamu ya Marando kununuliwa na pesa Haramu za Marehemu Gadafi huku Damu ya balozi wa Libya ikiwalilia , hiyo pesa haitawasaidia chochote maana ni pesa Haramu sana , Nape na wenzako wote mliotafuna Pesa za Membe Kwa Ajili ya kumchafua Lowasa kamwe hamtafanikiwa kutokana na laana ya Marehemu balozi wa Libya aliyekufa kifo cha Utata.
 
Marando naye anaaanza kuwa kama mlevi sasa. kama ana mambo meng ya lowassa si anyamaze au akae kimya kama anavyosema asubiri wakat muafaka? unapiga mayowe ya nini sasa marando? huna tofaut na mtu anayesema ningekwambia huna akili lakini nanyamaza tu. we msomi mzima mwanasehria unaongea ongea tu kama hivyo?
 
Back
Top Bottom