Marando is "no body" before the URT - President Mr Kikwete siyo? Vipi wewe kwake ni "somebody" ama!!??
Anyway, let me tell you something, that, Kikwete as URT President is there for and because of the "no people/no body" like me, you, Marando and all Tanzanians!!
And put this in your head; Mr JK contrary to his position and authourity,he is a human being and he therefore he has all human being qualities;
He feels pains, angry, happy, hungry,sorrow and sometimes he feels guilty too and he makes mistakes as well. Not only that, but also he falls sick and one day he will die like everyone of us!!
Pia kwa kuwa ni binadamu km alivyo mimi na wewe, basi anapenda sifa njema zitokanazo na kufikiri na kutenda vyema. Contrary to that hapendi sifa mbaya km ambavyo mimi na wewe hatupendi, au siyo?
But, kamwe hatuwezi kuzuia sifa mbaya ama njema kutuandama no matter zinatoka wapi na kwa nani simply because binadamu kaumbiwa pande mbili za WEMA na UBAYA na ni yeye apaswaye kuchagua upande mmojawapo!!
Maana ya maelezo haya ni hii; Marando is not just "no body" as to his opinions and accusations to Mr President Jakaya Kikwete against Tegeta Escrow Account Scandal. Hii ni sawasawa na kwa JK mwenyewe kwamba kama binadamu ni wazi hajisikii vyema dhidi ya tuhuma hizi zinazoelekezwa kwake kama yeye na kwa familia yake bila kujali nafasi yake kama jamii na ulimwengu huu....... lakini sababu kubwa ni kwamba yeye ni binadamu aliyeumbwa wakati mwingine aumie, alie,afurahi, augue, acheke, afanye makosa na kujiona mwenye hatia na wakati mwingine ajirekebishe na kupata furaha ya nafsi yake!!
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
- Wewe umechaguliwa lini kuwa msemaji wa mtaani? hahahahahah kumbe unajipendekeza so unadhani wengine wote ni kama wewe unaona unajivua nguo mwenyewe
Le Mutuz
Posted by: Saed Kubenea
RAIS Jakaya Kikwete anapaswa kuwajibika binafsi katika kashfa ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Saed Kubenea anaandika (endelea)
Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando amesema, Rais Kikwete, ndiye aliyeruhusu kiasi cha Sh. 321 bilioni kuchotwa katika mazingira yaliyosheheni udanganyifu.
Fedha zile zimechukuliwa kwa maelekezo ya Rais Kikwete ili kumuwezesha chama chake kufanikishe kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ameeleza Marando.
Hata hivyo, Marando anasema, Tumeambiwa na watu waliokaribu na chama hicho, kuwa ni sehemu ndogo sana ya fedha iliyoibwa zilizofikishwa CCM. Nyingi ya fedha hizo zimechukuliwa na familia ya rais mwenyewe.
Taarifa zinasema, familia ya Rais Kikwete imepata zaidi ya Sh. 9 bilioni, kutoka katika mgawo wa fedha zilizohifadhiwa katika akaunti ya Escrow.Kikwete anajua kila kitu. Yule singasinga Harbinder Singh Sethi alitokea Ikulu. Mpango wa uchotaji wa fedha za umma ulipangwa Ikulu na ulitekelezwa kwa maelekezo ya rais, ameeleza.
Taarifa zinasema, anayejiita na kuitwa na serikali kuwa ni mmiliki mpya wa IPTL/PAP, Harbinder Singh Sethi, alichotewa fedha hizo baada ya kufikishwa Ikulu na baadaye akakutanishwa na gavana wa BoT, Prof. Benno Ndullu; na kutoka hapo alikwenda kukwapua mabilioni hayo ya shilingi hata bila kumfahamisha James Rugemalira mbia mwenzake.
Sakata la ukwapuaji wa fedha katika akaunti ya Escrow ndilo lililomtupa nje ya ofisi, aliyekuwa waziri wa nishati, Prof. Sospeter Muhongo.
Taarifa zinasema, Prof. Muhongo, ni miongoni mwa wanaotajwa kunufaika na fedha za Escrow zilizopitia benki ya Stanbic. Mwingine ambaye jina lake lilitajwa bungeni na mmoja wa wabunge wa upinzani, ni Albert Marwa.
Marando anasema, Pamoja na kujiuzulu kwa Prof. Muhongo, bado haitoshi bila kuhojiwa au kuwajibishwa kwa gavana Ndullu, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwalile na maofisa wa ikulu na hata rais mwenyewe ambaye ndiye aliyeruhusu fedha hizo kutolewa.
Akiongea kwa kujiamini, Marando anasema, Wizi huu ulianzia Ikulu na umefanyika kwa baraka za Ikulu na mbele ya macho ya rais. Umewashirikisha baadhi ya maofisa wake na hata familia yake.
Dk. Likwalile ndiye aliyewasilisha kwa gavana wa BoT kwa ajili ya utekelezaji, maagizo ya Rais Kikwete kuwa fedha katika akaunti ya Escrow zilipwe kwa PAP.
Alikuwa akirejea maagizo kutoka kwa Rais Kikwete kwa kunukuu barua ya tarehe 13 Novemba 2013, ambayo ilisainiwa na Katibu wa Rais, Bw. Prosper Mbena.
Leo sijui utaficha wapi sura yako.- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
Hivi Le Mutuz yupo kweli jamani , au bado anashinda kwenye dili kule bandarini ?Leo sijui utaficha wapi sura yako.
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
Hakuna nukta wala koma zinazoeleweka.tutasomaje sasa??unaweza kua na point,uandishi ukawa shiida.rudia mkuu- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
LipoKumbe kuna andiko la muda mrefu humu
Mungu amsaidie apone harakaKwanini Marando aliugua sana kabla ya uchaguzi mkuu 2015 ?
Leo sijui utaficha wapi sura yako.
Ruge katembeza mgao kwa familia nzima mama Wama kachukua bilioni zake na watoto pia hawakusahaulika ndio sababu list ya mgao kupitia Stanbic inafanywa siri kubwa sana ili wezi na wapokea rushwa ndani ya Ikulu wasiadhirike.