Maraisi wetu katika picha.....JK ARE YOU SERIOUS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maraisi wetu katika picha.....JK ARE YOU SERIOUS?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Leornado, Dec 16, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  unfinished story
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angekuwa anafanya hayo lakini anapiga mzigo asingelaumiwa lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo hali inavyozidi mbaya, vitu vinapanda bei na imani kwa serikali inazidi kushuka.
   
 4. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waliopoz na JK ni baadhi ya wawekezaji anaowasaka kila uchao safari.
  By the way huyo mwekezaji mdada ndo nani vile kama namkumbuka.....
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Wajuzi wa mambo,wanatujuza safari ya nje ya nchi inakosti milion 250 mpaka 300. Je uchumi utapanda?
   
 6. libent

  libent JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mwacheni jamani maana raisi wetu naye ni celebrity naskia anataka kutoa korabo na 50cent. Nashut down
   
Loading...