lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,467
- 9,053
Hiyo nchi ya wasafi iko wapo??
Mkuu Daudi Mchambuzi, hili swali sio mimi tu hata mwingine atakuuliza. Si unajua watz wengi tunatumia akili za kushikiwa!?umezoea kutumwa-tumwa??
Hiyo nchi ya wasafi iko wapo??
Picha inajieleza na cuptions zake hizi hapa. Hongera Tz kwa kumpata 'mtu wa watu'!
View attachment 220631
chanzo: Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK'.
Sasa kumpa hivyo vyeo mtu mwenye hadhi ya 'urais' si ni sawa na demotion mkuu!? Au kama 'anawakingia' kifua 'wananchi wake' ...ref. #4 cc: utafiti, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=63346"]kabanga[/URL]Ninavyowajua Mods Na Kwa Mwenendo Wao Wa Siku Hizi Wa Kuondoa Mada Humu Zinazomuhusisha JK Hii Nayo Najua Sasa Hivi Itaondolewa Humu....Jamani Mods Tuachieni Uhuru Wa Either Kumsema Or Kumkosoa Huyu Mtu Na Isitoshe Hata Yeye Mwenyewe Nimesikia Kuwa Anapenda Mno Watu Humu Tumkimkomalia Na Yupo Pia Humu Humu Kama Member Na Nimesikia Anapanga Kukutana Na Mimi GENTAMYCINE Kwani Ananiulizia Mno.....Sijui Anataka Kunikabidhi Nami Ukuu Wa Wilaya au Mkoa au Kunipa Ukurugenzi Kama Siyo Kuniteua Kuwa Balozi Either Abroad Or Overseas. Mods Chukulieni Hili Very Seriously Jamaa Anapenda Sana Madongo Yetu Humu JF Ila Anachukizwa Nanyi Kwa Kitete Chenu Cha Kuondoa Threads Zinazomuhusu.