Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,700
- 1,853
Uhuru, Kagame na Dr Kikwete walimwendea Mola kutaka kujua majaaliwa ya nchi zao.
Akaanza Uhuru: Ewe Bwana mtukufu, ni miaka mingapi itapita hadi Kenya iwe kama nchi za Ulaya? Bwana akafikiria kidogo kisha akajibu, 'miaka 200'!
Uhuru akarejea kwa wenziwe huku analia. Walipomwuliza akasema 'Bwana ametoa muda mrefdu sana kwa Kenya kuwa kama Ulaya, ndiyo maana nalia. Amesema hadi miaka 200 ijayo'!
Zamu ya Kagame. Bwana akamwambia, ni baada ya miaka 400 Paulo! Naye akareje analia. Akawaelezea wenzake msiba huo.
Ikaja zamu ya Dr. 'Ewe bwana mtukufu, miaka mingapi hadi Tanzania iwe kama Ulaya? Bwana akafikiriaaaa, kisha akaanza kuangua kilio!
Dr akarudi, kama kawaida yake akitabasamu. Wakamwuliza, kulioni? Ah, Bwana mwenyewe nimemwacha analia!