Mimi mwenyewe sijawahi kuona nchi ina marais wawili.Very strangeKatika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.
kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo,
Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.
Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,
Nawakilisha.
Nchi mbili zikiungana inakuwa nchi moja (I mean two become one) sijawahi kuona na sitaki kuaminishwa nchi yenye maraisi wawili and that mistake need tobe corrected my dear comradeWewe tumia akili zako badala ya za kuazima kutoka kwa Mulugo! Tanzania ni muungano wa nchi 2 zenye mamlaka kamili, Zanzibar ikiwa na katiba inayojitegemea!!
Kiukweli nimecheka!. Serikali tatu hazina maana ya marais watatu!. Rais atakuwa ni mmoja tuu, rais wa JMT. Serikali ya Tanzania Bara itaongozwa na Makamo wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara!. Serikali ya Zanzibar, itaongozwa na Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Zanzibar.
Naomba kuwahadhirisha hawa vitimbakwiri wapinga muungano wetu huu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kamwe hautavunjika!, Utadumu daima dumu na sana sana utaendelea kuimarika hadi serikali moja ambao Zanzibar itakuwa ni Mkoa wenye wilaya mbili za Unguja na Pemba, rais wa Zanzibar atakuwa ndiye Mhe. Mkuu wa Mkoa!.
Pasco.
Hoja yangu ni kwamba kama inawezekana kuwa na serikali mbili basi hata sitaUnited Arab emirates kwa ufupi Dubai ,huko muungano ni nchi saba ,na kila nchi ina raisi wake huitwa Hakim ,kwa mfano huanzia kwa Sheikh fulani bin fulani mkuu wa majeshi na hakim wa Shaja ,mfano ila hiyo Hakim ni kama Raisi wa hiyo Shaja Na zaidi ya wote ni Mkuu wa hiyo united arabuemirates ,sasa kusema hujaona inawezekana ila leo utakuwa umeona ,nenda kaguguli ,utupunguzie mzigo.
Kwa nini ushangai nchi yenye marais wawili na wote wakiwa maamili jeshi wakuu?Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.
Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?
Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.
Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,
Nawakilisha.
Mkuu jaribu kufanya utafiti kwanza ndiyo utajua kuwa serikali tatu siyo mpango.Ili kukabiliana na tatizo la ajira, mfumo wa serikali tatu utaongza ajira kwa vijana wetu kwani idadi ya mawizara na maidara yataongezeka sana.
Kiukweli nimecheka!. Serikali tatu hazina maana ya marais watatu!. Rais atakuwa ni mmoja tuu, rais wa JMT. Serikali ya Tanzania Bara itaongozwa na Makamo wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara!. Serikali ya Zanzibar, itaongozwa na Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Zanzibar.
Naomba kuwahadhirisha hawa vitimbakwiri wapinga muungano wetu huu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kamwe hautavunjika!, Utadumu daima dumu na sana sana utaendelea kuimarika hadi serikali moja ambao Zanzibar itakuwa ni Mkoa wenye wilaya mbili za Unguja na Pemba, rais wa Zanzibar atakuwa ndiye Mhe. Mkuu wa Mkoa!.
Pasco.
Mimi mwenyewe sijawahi kuona nchi ina marais wawili.Very strange
Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.