pmwasyoke JF-Expert Member May 27, 2010 4,593 2,978 Jun 17, 2013 #2 Itasaidia kukiwa na helikopta za kuwasafirisha wakubwa hawa ndani ya majiji, ili wengine tusikwame mno mabarabarani.
Itasaidia kukiwa na helikopta za kuwasafirisha wakubwa hawa ndani ya majiji, ili wengine tusikwame mno mabarabarani.
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 31,270 31,389 Jun 17, 2013 #3 pmwasyoke said: Itasaidia kukiwa na helikopta za kuwasafirisha wakubwa hawa ndani ya majiji, ili wengine tusikwame mno mabarabarani. Click to expand... Usalama huko angani ni mdogo kuliko ardhini..... Hivyo tuvumilie foleni
pmwasyoke said: Itasaidia kukiwa na helikopta za kuwasafirisha wakubwa hawa ndani ya majiji, ili wengine tusikwame mno mabarabarani. Click to expand... Usalama huko angani ni mdogo kuliko ardhini..... Hivyo tuvumilie foleni