Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana Dodoma..
Hii ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi?
============
Yule siyo mkapa,ni jamaa wa usalama.
Njoo Dodoma hotel nikupige offer kamanda huku tunashangilia ushindi....
Nakulipia nauli Kama uko mbali kuhusu kazi usijali situation iko under control...
Njoo Dodoma hotel nikupige offer kamanda huku tunashangilia ushindi....
Nakulipia nauli Kama uko mbali kuhusu kazi usijali situation iko under control...
Acha ushakunaku na ushambenga kiroboto msaga sumu Sumaye alikuwepo mwanzo mwisho...
Kuhusu mkapa na karume wamewakilishwa vyema wala kutokuwepo kwao hakumaanishi hawajaridhia....
mtalala nje kwa habari za kuokoteza mbulumundu wafitini nyie
Mkapa nimemuna Kabia. ila hakuwepo kwenye high table. angalia Kikwete anaingia utamuona.
Sherehe za Kukabidhi Katiba Inayopendekezwa siku ya jana pale Dodoma zilikosa watu muhimu (sio kisiasa ila kitaifa) watu hao ni pamoja na Dr.Salmin, Karume, Malim Seif, mama Karume (toka Zanzibar) Mkapa, Salim A.Salim, C.Msuya, Warioba, mama Maria Nyerere.
Ukawa, Prof.Lipumba, Mbatia, Mbowe.
Wenyeviti Jukwaa la Maaskofu, Shuraa ya Maimam-Ansar Sunna na wengine.
Mabalozi Uingereza, Ujerumani, Marekani.
Nini athari ya haya yote.
Mkapa alikuwepo na walipeana mkono na jk wakati jk akienda kupanda gari lake na kuondoka. Kama hukuangalia mpaka mwisho basi hata ukisema mkapa hakuwepo nisawa.
Mkapa alikuwepo.
usikute tunashindana na vipofu wa macho hapa mkapa na sumaye hawakuwepoNilimwona Mh Raisi Mstaafu Mkapa wakati Rais Kikwete anateremka jukwani chini kabisa, Mh Mkapa aliibuka na kumsalimia kwa mkono. Inaonekana alijificha mahali, hakukaa jukwaa kubwa. Kwangu inaleta maswali mengi. Hakupenda pengine kuonekana jukwaani lakini akaona ni vizuri walau Kikwete amwone! Huyu Karume sikumwona kabisa na wale yule Komandoo. Bila shaka wale wote wanaotegemea uraisi CCM walikuwepo- Mzee wa Mvi, Mzee wa mtoto wa Mkulima, Kijana wa kwenye miembe, na Mzee wa Fundi Mchundo Kilimo kutoka kule Mbulu, na Madevu Kijana Makeke wa Kiramba Ila huyu kijana wa Katibu wa ZAMANI WA CCM sikumwona.
Acha ushakunaku na ushambenga kiroboto msaga sumu Sumaye alikuwepo mwanzo mwisho...
Kuhusu mkapa na karume wamewakilishwa vyema wala kutokuwepo kwao hakumaanishi hawajaridhia....
mtalala nje kwa habari za kuokoteza mbulumundu wafitini nyie
Sherehe za Kukabidhi Katiba Inayopendekezwa siku ya jana pale Dodoma zilikosa watu muhimu (sio kisiasa ila kitaifa) watu hao ni pamoja na Dr.Salmin, Karume, Malim Seif, mama Karume (toka Zanzibar) Mkapa, Salim A.Salim,
C.Msuya, Warioba, mama Maria Nyerere.
Ukawa, Prof.Lipumba, Mbatia, Mbowe.
Wenyeviti Jukwaa la Maaskofu, Shuraa ya Maimam-Ansar Sunna na wengine.
Mabalozi Uingereza, Ujerumani, Marekani.
Nini athari ya haya yote.
Mkapa na Karume ni kweli hawakuwapo, kwani Mkapa yupo nje ya nchi na Karume vilevile..Sumaye alikuwepo Mabalozi ndio usiseme kwani walijaa tele....Katiba ni yetu wananchi wewe unayeikataa ndiye fisadi tena fisadais
Nilimwona Mh Raisi Mstaafu Mkapa wakati Rais Kikwete anateremka jukwani chini kabisa, Mh Mkapa aliibuka na kumsalimia kwa mkono. Inaonekana alijificha mahali, hakukaa jukwaa kubwa. Kwangu inaleta maswali mengi. Hakupenda pengine kuonekana jukwaani lakini akaona ni vizuri walau Kikwete amwone! Huyu Karume sikumwona kabisa na wale yule Komandoo. Bila shaka wale wote wanaotegemea uraisi CCM walikuwepo- Mzee wa Mvi, Mzee wa mtoto wa Mkulima, Kijana wa kwenye miembe, na Mzee wa Fundi Mchundo Kilimo kutoka kule Mbulu, na Madevu Kijana Makeke wa Kiramba Ila huyu kijana wa Katibu wa ZAMANI WA CCM sikumwona.
Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye na Lowasa walikuwepo acha uongo wako hapa na walikaa karibu .....