Marais wapungua mtaani

Mapejhee wa kuvaa Mikufu kama Minyororo ya kufungia mageti, Mipete vidole nane vyaMikono, Simu nne za mitandao yote, Bangili za shaba mikononi hawapo tena
Shaibu Mapajelo
Fikiri Madinda
Alex Masawe
Papaa Msofe n.k
Ilikuwa ukienda Twanga pepeta mtu anapanda kwny steji anawatunza akina Lwiza Foreign currency kama sio dola pound kama sio pound basi Euro kumbe utapeli utapeli tu!
 
Ni zamu yetu sasa
 
Robo tatu ya wimbo wanatajwa mapedejee utasikia ndama mutoto ya ng'ombe yaani karaha tupu nawakumbuka wazee wetu kina marijali gurumo mbaraka mwinshehe na wote waliotangulia mbele ya haki huku siku hizi muziki ni kutaja majina.
 
Hivi yule rais wa tabata ambaye alifunga harusi m'city harafu bongo movies walikuwa wanahudumia, yupo wapi!?
 
Waliokuwa wanaishi kama Malaika ndio hao unaowasema? Watanzania hatupendani tunataka tuwavute nao wawe kama sisi....
 
Mapejhee wa kuvaa Mikufu kama Minyororo ya kufungia mageti, Mipete vidole nane vyaMikono, Simu nne za mitandao yote, Bangili za shaba mikononi hawapo tena
Shaibu Mapajelo
Fikiri Madinda
Alex Masawe
Papaa Msofe n.k
Ilikuwa ukienda Twanga pepeta mtu anapanda kwny steji anawatunza akina Lwiza Foreign currency kama sio dola pound kama sio pound basi Euro kumbe utapeli utapeli tu!
Kuna wimbo nasikiliza hapa wanamtaja Dulla kibalasi..rais wa madereva...eeh
 
Zile ofa za kwenye mabaa mtu anaingia akikutana na watu anaofahamiana nao ni raundi mbili tatu zinazungushwa zimepungua kweli si mchezo...
Shkamoo Ngosha
 
Maraisi bado tupo sababu uraisi wetu ni Uraisi wa Maisha Nikiwemo Mimi Raisi wa Pemba
 
Back
Top Bottom