Marais Barack Obama, George W Bush na Bill Clinton wajitolea kupata chanjo ya Corona

New World Order initiated, Mwana wa Adamu yu karibu kutwaa wateule amkeni miamba
Mkuu kama ndo hivyo mbona tumeshaingia toka kipindi cha chanjo ya ndui, polio sijui nini. Watoto wetu wanakula chanjo kama zote.

Ila walimwengu wa sikuhizi wanapenda saba kuwa watu wa mapokeo. Kila kitu kinahusishwa na hayo makitu.

Nielimishe unaelewaje maana ya New World Order.
 
This will be mondatory hamtatoka bila hio itakua ndio kama pass ya kusafiria
 
What will be mandatory?

Mbona unaongea vitu vya kufikirika sana?
Vaccine mkuu fungua macho mkuu wao wajidunge halafu wewe ugome alafu ujichanye nao , we ngoja tu ikianza hio shughuli mtakaogoma wote mnapigwa pin kusafir then mnanyimwa misaada na njaa zenu
 
Vaccine mkuu fungua macho mkuu wao wajidunge halafu wewe ugome alafu ujichanye nao , we ngoja tu ikianza hio shughuli mtakaogoma wote mnapigwa pin kusafir then mnanyimwa misaada na njaa zenu
Hakuna kitu kama hicho, chanjo ni hiari ndo maana hata wao hawalazimishwi.

After all sie hatuhitaji hiyo chanjo sababu sioni madhara ya hiyo covid-19 huku kwetu.

Hoja yangu kwanini mnaongea vitu vya kufikirika sana? Tujikite kwenye facts na sio vitu vya kufikirika.

Hapo tu mwenyewe umeshakula chanjo za kutosha na hadi alama ya ndui unayo, sijui unakwama wapi aisee.
 
Back
Top Bottom