Juvu Member Sep 3, 2022 7 10 Jun 17, 2023 #1 Nahitaji marafiki jinsia yoyote, popote Tanzania na nje ya nchi.
DR SANTOS JF-Expert Member Mar 11, 2019 10,519 21,441 Jun 17, 2023 #2 Huu ndo urafiki wa kuombana pesa? Hapana aise😃😃🚮
Sharamdala JF-Expert Member Aug 14, 2022 3,568 6,503 Jun 17, 2023 #3 DR SANTOS said: Huu ndo urafiki wa kuombana pesa? Hapana aise😃😃🚮 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣kimbia
DR SANTOS JF-Expert Member Mar 11, 2019 10,519 21,441 Jun 17, 2023 #4 Sharamdala said: 🤣🤣🤣🤣kimbia Click to expand... Yaani mapema tu shwaaa
Inna JF-Expert Member Jan 13, 2017 11,188 27,045 Jun 17, 2023 #7 Marafiki huja automatically mambo yenu yakiendana
Juvu Member Sep 3, 2022 7 10 Jun 17, 2023 Thread starter #8 DR SANTOS said: Huu ndo urafiki wa kuombana pesa? Hapana aise Click to expand... Hahahhaha
Juvu Member Sep 3, 2022 7 10 Jun 17, 2023 Thread starter #9 Inna said: Marafiki huja automatically mambo yenu yakiendana Click to expand... Yanaendana vipi bila kuanza urafiki
Inna said: Marafiki huja automatically mambo yenu yakiendana Click to expand... Yanaendana vipi bila kuanza urafiki