Marafiki wengi sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marafiki wengi sana.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mphamvu, May 9, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Aged 22, mwanafunzi wa chuo kikuu, lakini niliyekulia uswahilini.

  Nina uwezo wa kusocialize na yeyote, popote, wakati wowote. Nina marafiki kuanzia huku uswazi, wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi mpaka viongozi wa kisiasa, ninao vijana wa shule mpaka wazee wa umri mkubwa, na wote tunalewana bila tatizo. Tatizo ni kuwa nimekuwa na marafiki wengi mno, karibu kila hatua ninayopitia na kila mahali ninapofika, ninaposema rafiki namaanisha rafiki, sio mtu tu wa stori mbili tatu, I mean yule naweza share nae happy and sad moments.

  Tatizo ni kuwa wamekuwa wengi kiasi kwamba inakuwa ngumu ku-keep in touch nao wote. Likitokea tatizo, usipomwambia mmoja inakuwa lawama..., jumlisha na mihangaiko ya maisha ndio kabisa! Kuvunja urafiki haiwezekani, na ukipoteza ndo ivo tena!

  Any way out wakuu?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  endelea kuwasiliana nao
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,581
  Trophy Points: 280
  ...Jitahidi tu kuendelea kuwa nao hakuna ubaya wowote wa kuwa na marafiki wengi hasa kama si marafiki wenye unafiki.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Rafiki mkia wa fisi. Aisee ukipatwa na shida ndo utajua rafiki yako haswa ni yupi. Kuna mtu akiona una shida hata simu yako hapokei!
  Weka utaratibu wa kuwasiliana nao once in a while. Kama marafiki kweli in their hearts of heart wanajua u ar just friends.
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Na marafiki wa kweli utawajua ukipata shida
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hongera kwa kuwa na marafiki wengi.

  Japo mie siwezi kuwa na marafiki wengi ila nafahamiana na watu wengi.

  Una bahati!
   
 7. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli..
  Hapo unajiona una marafiki wengi lakini siku ukiwa na shida/tatizo unaweza kujikuta umebakiwa na marafiki kumi..
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  una bahati marafiki wote hao
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Kongosho i guess this is exactly the topicer(mtoa mada) wanted to say...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Najitahidi mkuu, ingawa ni ngumu sana.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I have few to call them are close to my heart wengine ni changamsha genge.
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Vizuri kuendelea nao mawasiliano lakini lazima uwe na wachache ambao ni karibu zaidi.
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  No BAGAH, najua tofauti ya kufahamiana na mtu kuwa rafiki yake. Mimi nina marafiki wengi, sio watu ninaojuana nao...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hao wa sekta isiyorasmi ni wepi???wale wa kinondon makaburini????wanaosimamisha magar usiku????
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kumfanya mtu changamsha genge ndo inakuwaga ngumu. Inataka uwwe na kaunafki-unafki fulani hivi...
   
 16. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  nijuavyo mimi,... marafiki hupatikana na kutoweka/kupungua kulingana na mazingira uliopo, pia na status yako inavyobadilika. rafik wa primary, kama hakubahatika kuendelea na secondary, lazima urafiki wenu utapungua. hivo hivo na marafiki wa secondary na advance uliowaacha urafiki wenu utapungua. sidhani kama bado unao wa tangu chekechea, bcoz you won't be talking the same language, na hata kama utapenda kuongea nao bado watakuogopa na kukuona si sawa na zamani.
   
Loading...