The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
naona baba g anaelekea kwenye kuwa :llama::llama:......Dawa yao hawa ni kuwa:deadhorse: then hii :mod: ikija, tunalane: haooooo Dom na anonymous na mama kubwa. wao wanapelekwa MOI.
Orait, tutafafanuliana tukifika dom basi!Binamu hapo kwenye red umeniacha nimetafuta kwenye kamusi lakini olaa:doh::doh:
hahahaaa! mkubwa, kaenda kula ubwabwa na nyama ya ng'ombe.Hoteli...umeagiza chakula gani
hahahaaa! mkubwa, kaenda kula ubwabwa na nyama ya ng'ombe.
MKUU,
huyo kaizer hafai huyo
Orait, tutafafanuliana tukifika dom basi!
kaizer hawezi kuja......!
atakuwa bize analea mtoto
kwa hiyo utakuja na mimi
Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
Vipi kamati ya maandalizi............? na ugeni ndo huuuuuuuuuuu?
Karibuni sana wapwaz na binamz!
Mi tukutuku yangu ina uwezo wa kubeba Dada mmoja tu....nani anajitolea?:yield:
dah.... kama kuna kaukweli vile!Sioni wasafiri humu... naona wawindaji na wawindwaji
Askofu atahitajika kwenye safari kwa ajili ya kutufanyia maombi sijuiatakuja na Sista Gabriella