Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu....
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!

Watu tunamitikasi yetu tuhangaike na Data wanini?? Usitupotezee wakati wewe watujua???

HA ha haa ha ha mweeeeeeeeeeee kalale na kesho uende zako

Sisi tumefunzwa ukarimu, nakupa majina ya wafuatao ukifika dar uje tukupe raha za duniani, LAT, KakaKiiza, The Finest, Mwenzetu, Jrated, LD, *Husninyo*, Newmzalendo, Babalao, Manundu, Carmel etc.

Hee! yaani hutaki hata zawadi za nsansa,matobolwa,ntwili na mihogo..

May b ni swala la muda jijini mambo mengi mkubwa
he he....halahala data....tafadhali kama unatokea kigoma kuja Yaeda....chonde chonde baba.....dagaa na mawese ndio mpango mzima....ukinyunyizia na kitenge cha waxaafu ngoja nnikueleze kitu.. mtu wa ukimwambia .. yani ukimpa taarifa kwamba nataka kuja Dar... anakuagiza mambo ya kijingajinga meengiiiii.... mara Unga wa ugali, .... mafuta ya kupikiaa, .... etc... sasa mie ua najiuliza hawa viumbe vipiii!!!?? Ivi Dar hamna mafuta ya kupikia? hamna unga wa Ugali.. Waache Upuuzii.
jamani jamaniheee! kwani husninyo yupo dar?
he he....halahala data....tafadhali kama unatokea kigoma kuja Yaeda....chonde chonde baba.....dagaa na mawese ndio mpango mzima....ukinyunyizia na kitenge cha wax
mmh....kunahitajika mayai ya bundi hapa....kung'amua huu utata....ngoja nimtafute yule muuzamwenzio nimefananishwa.
basi mi ndo nshakueleza hivyo....next tym badilisha muelekeosio ishu kabisa... kwa taarifa yao watu wa Dar.. maisha magumu kotekote.
Mbona unalaumu sana ? hujui wana hali gani,sasa kama umekuja na hela yako nzuri tatizo nini ? chukua chumba self-contained full a/c mitaa ya Sinza,piga laga zako,ukijiskia vuta kifaa na ukifika muda ondoka 'kimya kimya' ndio Darisalama hii au ulikuja na hela mbuzi ukitegemea wenyeji wakupokee Ubungo ?Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu.... sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
Mbona unalaumu sana ? hujui wana hali gani,sasa kama umekuja na hela yako nzuri tatizo nini ? chukua chumba self-contained full a/c mitaa ya Sinza,piga laga zako,ukijiskia vuta kifaa na ukifika muda ondoka 'kimya kimya' ndio Darisalama hii au ulikuja na hela mbuzi ukitegemea wenyeji wakupokee Ubungo ?
ukiona wote wanakukwepa hivyo TATIZO liko kwako mkuu na unavyolalamika hapa inadhihirisha hilo, ukija tena wasalimie kwenye simu tu chukua chumba,usiku nenda club ukacheze kwaito,pata urithi wetu,ukipendezwa na kizazi hiki cha Carolight jipongeze na mmoja mchezo kwisha jumapili wahi ubungo.sikuja omba hifadhi kwao ..wote wamepanga.. sometimes hata walojenga ua wanadai wamepokea wageni..."recently''
...wakimaanisha ndugu zao..