Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,666
- 61,444
Huyo rafiki alikupa kazi baada ya wewe kumaliza CBE. Je kazi hiyo ungeipata bila hiyo elimu eti kwa sababu tu ni rafiki yako? Think again uache lawama.Uko sahihi mkuu,mfano Mimi mjomba wangu alitaka nimsaidie biashara zake,kweli tumeenda miaka4 siioni Faida kwangu,mbali tuu na kupata uzoefu na kula.Nikajiongeza kusoma C.B.E _Dodoma huko nikakutana na jamaa anafanya kazi kampuni flani nzuri Katika kuzoeana akawa rafiki yangu mkubwa!Kazi zikatoka wa kwanza kunitafuta ilikuwa Mimi Ahsante rafiki,Sasa Nina wajukuu.
Bahati mbaya sana kuna watu walizaliwa kwenye familia za watu wagomvi na wenye tamaa, na wengi ndiyo wenye maoni kama yako. Mimi ndugu zangu wa kuzaliwa nawaamini sana na tunasaidia kwa kila jambo. Kinyume chake naona kama marafiki ndiyo hawaaminiki.Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Hahaha yale yale ya Bakhresa.Hii nayo ina shida!
Ndio maana Magufuli alimuuliza Abood wasubiri watu wafe ili uwasaidie mazishi!
Kwanini tusaidiene kote kwenye uchumi, maradhi, kesi na vifo?.
Hawatakuja kukusaidia ukiwa na kesi lakini ukifa watakuja kulia!
Perfect.....Dada yako unamuonya kama Kaka Mkubwa unamuongoza awe makini kwenye mahusiano yake...kwa upendo kabisa. Yeye anakuona wewe ni kizingiti wewe ni mshamba...Bahati mbaya sana kuna watu walizaliwa kwenye familia za watu wagomvi na wenye tamaa, na wengi ndiyo wenye maoni kama yako. Mimi ndugu zangu wa kuzaliwa nawaamini sana na tunasaidia kwa kila jambo. Kinyume chake naona kama marafiki ndiyo hawaaminiki.
Uwe mwelewa mkuu,tunazungumzia rafiki anaumakini wa kutusaidia kwa haraka mara nyingi kuliko ndugu,hatumaanishi ndugu ni wabaya,hapana.Huyo rafiki akikupa kazi baada ya kumaliza CBE. Je kazi hiyo ungeipata bila hiyo elimu eti kwa sababu tu ni rafiki yako? Think again uache lawama.
Huyu ni mjinga sana. Alitarajia pengine huyo mjomba wake achote fedha na kumpa. Hili kosa wanalifanya watu wengi. Unakuta muda wote analaumu ndugu eti hamsaidii. Kwenye familia yangu, ndugu ni kila kitu na hata siku moja siwezi kumwamini rafiki kuliko ndugu.Huyo rafiki akikupa kazi baada ya kumaliza CBE. Je kazi hiyo ungeipata bila hiyo elimu eti kwa sababu tu ni rafiki yako? Think again uache lawama.
Pointi yangu ni kuwa Rafiki alikusaidia kwa haraka ukiwa na sifa. Sasa wewe unataka kuona wale ambao hawajakusaidia mwanzo sio sawa na hawa waliokusaidi huku tayari una qualities za kusaidiwa. Hawa wote wanastahili sifa sawa ktk maisha yako.Uwe mwelewa mkuu,tunazungumzia rafiki anaumakini wa kutusaidia kwa haraka mara nyingi kuliko ndugu,hatumaanishi ndugu ni wabaya,hapana.
Vijana wakorofi kwenye familia wanajua walipokosea ndio maana wanakimbia ndugu zao kwa kuwamwagia lawama.Huyu ni mjinga sana. Alitarajia pengine huyo mjomba wake achote fedha na kumpa. Hili kosa wanalifanya watu wengi. Unakuta muda wote analaumu ndugu eti hamsaidii. Kwenye familia yangu, ndugu ni kila kitu na hata siku moja siwezi kumwamini rafiki kuliko ndugu.
Uko sahihiPointi yangu ni kuwa Rafiki alikusaidia kwa haraka ukiwa na sifa. Sasa wewe unataka kuona wale ambao hawajakusaidia mwanzo sio sawa na hawa waliokusaidi huku tayari una qualities za kusaidiwa. Hawa wote wanastahili sifa sawa ktk maisha yako.
Pengine Bila Mjomba kuku host hapo hata wazo la kujiongeza elimu usingelipata au usingeweza
Kuna ndugu, familia au jamaa wa karibu. Ikiwa ni familia sio rahisi nimnyime information/michongo/kazi, mwanangu, dada yangu, binamu yangu mke wangu, mjukuu wangu. Maana hiyo ni familia yangu, ila baba mdogo mtoto wa nani mkubwa, ukoo wenyewe wa kutafuta na tochi,, tutalaumiana tu.Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Hapana umeenda mbali huko ,Mimi sio mjinga mkuu tunazungumzia uhalisia,Sasa kwa taarifa Yako Mimi ndio tegemeo la huyo mjomba na watoto wake nimesomesha Mimi!Nani mjinga hapo wewe au Mimi,usikurupuke kama umekula farujohn Kaa kwa kutulia Mungu fundi.Huyu ni mjinga sana. Alitarajia pengine huyo mjomba wake achote fedha na kumpa. Hili kosa wanalifanya watu wengi. Unakuta muda wote analaumu ndugu eti hamsaidii. Kwenye familia yangu, ndugu ni kila kitu na hata siku moja siwezi kumwamini rafiki kuliko ndugu.
Waweke imani kwa nani sasa??? Kama sio Binadamu?Punguza matarajio mkuu,kila mtu ana hali anayoipitia na hana majibu,usiweke imani na nguvu zako kwa binaadam, maana wao hubadilika pasipo taarifa.
Sasa wewe ulitaka huyo mjomba afanye nini kipindi hicho? Huoni kukubali kukaa na wewe ni uungwana?Hapana umeenda mbali huko ,Mimi sio mjinga mkuu tunazungumzia uhalisia,Sasa kwa taarifa Yako Mimi ndio tegemeo la huyo mjomba na watoto wake nimesomesha Mimi!Nani mjinga hapo wewe au Mimi,usikurupuke kama umekula farujohn Kaa kwa kutulia Mungu fundi.
Katika hii Dunia huwezi tobaa kwa juhudi zako,hata uwe na akili kama mchwa utahitaji support za watu hasa marafikiMaisha yako ni jukumu
👉Kila kitu katika maisha yako ni jukumu lako
👉changamoto zinazokukabili ni jukumu lako kulitatua
💥umaskini usiwe chanzo cha makasrikiko na kukataa ndugu.
Epuka kua tegemezi kwa maana hata marafiki nao wanahitaji marafiki
Ndugu watabaki kua ndugu marafiki watabaki kua marafiki
kutoa au kupokea msaada sio sheria bali ni huruma na imani ya mwanadamu na ni optional
Ahsante🙏
Weka Imani kwa Mungu na kwako wewe mwenyewe.Waweke imani kwa nani sasa??? Kama sio Binadamu?
Ni uungwana kweli,ndio maana nimemlipa mema mkuu,hapo je?Sasa wewe ulitaka huyo mjomba afanye nini kipindi hicho? Huoni kukubali kukaa na wewe ni uungwana?
Ndio tunawasaidia!Kwa hiyo unakaa miguu juu unasubiri msaada, vipi wewe unawasaidia?