Ndugu,Ngurumo ubarikiwe sana.Hakika katika historia ya mashujaa wa kuikomboa Tanzania kutoka katika himaya ya Mafisadi hautasahaulika.Historia itakumulika
Hapa wamo mashujaa waliojitoa kafara katika kuikomboa Tanzania,kama akina Samson Mwigamba,Timbwaga,Malera,Irene Mark,Padri Privatus karugendo,Conges Mramba,Cris Allan,Mwanakijiji,Jenerali Ulimwengu, na wengineo wengi ambao hawana compromise na mafisadi,wenye uchungu na nchi yao.
Mioyo yenu ndiyo tunu kwa watanzania.Mtarudishiwa mara mia zaidi na Muumba