Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,623
- Thread starter
- #21
Mzee baba hii hapindui mtu.Jibu ni rahisi Mtazame machoni alafu mwambie sina ... Kama unaweza kutongoza demu na akakubali unashindwaje kumkazia mtu jicho na kumwambia sina!!?? .....
Nakumbuka sheria hii katika ujasiriamal
USIPENDE KUTEMBEA NA RAFIKI ULIOWAZIDI KIPATO,WATAKUTEGEMEA
Mtanisamehe aisee Ila nikiamuaga wanakulaga soda wote na huwa Mara Moja baada ya Miezi mitatu.... Tuheshimiane ... Mara jero Mara buku nipandie bajaji... Mara nitoe lunch bro [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]