Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Wakuu embu nijuzeni maradona ni shoga. Kuna clip nimeona huko Inst kwenye account ya nurs_et.. jamaa flani maarufu wa kuchoma choma nyama huko kwa nchi ya trump alimaarufu #saltbae. Maradona anajibebisha sana mara amkumbatie jamaa afu agome kumuachia