S Songo Member Joined Sep 2, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Sep 2, 2011 #1 Jamani waungwana wapenzi ukurasa huu wa jamii naombeni msaada.minasumbuliwa na utiwa mgongo miaka mitano nazaidi nimehangaika kila hospitali na c.t.scan nimfanya mara2hakuna tatizo lkn ninaumwa
Jamani waungwana wapenzi ukurasa huu wa jamii naombeni msaada.minasumbuliwa na utiwa mgongo miaka mitano nazaidi nimehangaika kila hospitali na c.t.scan nimfanya mara2hakuna tatizo lkn ninaumwa
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,843 Reaction score 141,208 Sep 2, 2011 #2 Huenda ukawa na cryptococal meningitis
BlackBerry JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 1,839 Reaction score 959 Sep 3, 2011 #3 kuna disk nasikia zinaachiaga hapo mgongoni, nenda kwa wataalam MOI
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,324 Reaction score 2,900 Sep 3, 2011 #4 Pole sana mkuu. Mungu atakujaalia utapona haraka.