Maradhi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maradhi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Songo, Sep 2, 2011.

 1. S

  Songo Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani waungwana wapenzi ukurasa huu wa jamii naombeni msaada.minasumbuliwa na utiwa mgongo miaka mitano nazaidi nimehangaika kila hospitali na c.t.scan nimfanya mara2hakuna tatizo lkn ninaumwa
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Huenda ukawa na cryptococal meningitis
   
 3. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna disk nasikia zinaachiaga hapo mgongoni, nenda kwa wataalam MOI
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu. Mungu atakujaalia utapona haraka.
   
Loading...