Maradhi ya kujitakia Hayatolewi Pole

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
86
Mtu umebahatika kupata elimu bado unajikubalisha kujiweka katika hali kama vile una maradhi ya Utapia Mloo

 
Ufafanuzi ndugu mleta thread unamsema nani hapo kwenye picha?
 
Si mpoki huyu au? Vp kaweka pozi kama anautapiamlo? Hihihhhhiiii.
 
acheni wivu banaaaaaaaaaaaaa
 
Ukikonda balaa, ukinenepa una utapiamlo! Ukinipiga umenionea ukiniacha umeniogopa! Tusiwe hivi jamani tutashindwa kueleweka.
 
acheni wivu banaaaaaaaaaaaaa
wewe ndio kizazi kipya cha JF chenye upeo mdogo....
Ufafanuzi ndugu mleta thread unamsema nani hapo kwenye picha?
HUjaelewa tu? shughulisha akili kidogo basi mkuu.....maradhi ya kujitakiia ambayo yanaambatana na mabadiliko ya kimaisha ya watu tabaka la kati....kula vibaya,kutokufanya mazoezi,kufanya kazi sana etc....yanapelekea ongezeko la mwili unene.....
 
Kuna ziada ya maelezo hapa tujue cha kuchangia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…