Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,034 Jan 10, 2013 #1 Kachelewa dakika moja halafu fastjet yataka kumwacha!
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,308 Reaction score 24,784 Jan 10, 2013 #2 Hapo anashitakiwa kabisa....kuchelewa amechelewa yeye kwa nini anahatarisha usalama wa abiria wengine?
Hapo anashitakiwa kabisa....kuchelewa amechelewa yeye kwa nini anahatarisha usalama wa abiria wengine?
H Hussein Njovu Senior Member Joined Sep 25, 2006 Posts 186 Reaction score 74 Jan 10, 2013 #3 Hata mimi sijawahi kupanda pipa ila nadhani hapa inakaribia kutua maana naona "run way" kwa kuleeeee
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Jan 11, 2013 #4 Ha ha ha ha hii kali