Goddess,ninajua unachokipitia,ukiwa kwenye hiyo hali lia kweli kweli,lia haswaa,haya maisha acha tu,tunapanga mengi mazuri na tunakuwa na matarajio makubwa sana,ila the theory of nature inatushauri kuwa tayari kuyaona,kuyasikia na kufanyiwa yote tuyapendayo na tusiyoyapenda,hapo ndyo sisi binadamu hujikuta kwny hali ya hopping for the best but expecting for the worst,pole sana2weeks ago
Sababu ni depression