Mara ya Kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mara ya Kwanza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Jun 16, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  Jamani najua kila mtu hapa ana uhusiano na mwenza wake na wengine ndoa kabisa. Hebu tukumbushane siku ya kwanza kabisa unafanya ngono na mwenza wako wa kwanza kabisa hali ilikuwaje kuhusu wasiwasi/ uoga/ presha na mangineyo yalikuwaje?

  mimi nakumbuka siku ya kwanza baada ya kuwa mtu kamili (achilia mbali za kinguo nguo) nilitokwa na jasho mpk demu akaniuliza una tatizo gani, ikabidi nimwambie ukweli kuwa sijawahi so baada ya hapo alinipa somo la kutosha halafu akawa ananitafuta mara kwa mara kunipa raha mpk nilipopata utaalamu ambao umenifanya nimekuwa mkongwe mpk leo
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mhhh!!!...kwa tuliochezwa hapa ni kaazi kwelikweli!!...halafu bahati mbaya wengine tulieanza nae ndo huyohuyo wife hadi sasa, na worse, ni member hapa!..huh!
   
 3. T

  The Lady Member

  #3
  Jun 16, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahaaaa! inanikumbusha mbali sana hii thread. zile aibu duh!
  Jamani naomba msaada japo ni tofauti na topic hii, eti kama nkitaka kutuma msg kama hivi nafanyaje? mgeni kdg humu.
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  wengine walianzia mikono na Mbunju, Mawingu,Mbuni,Kisura, Gardenia hata Foma,
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  na wengine walianzia ndotoni tu ('wet dreams'!)
   
 6. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  :confused2:... sie wengine bado... :lock1:
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni-PM nitakufundisha tena na kukuandikia na notisi kabisa halafu daftari la notisi nakupa lote lote
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wengine ilikuwa kwenye kucheza cha baba na mama.....lol
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  naongelea tokea ulipoanza kurusha mabao sio za utotoni,

  mbona watu mnaogopa kuchangia hasa mademu maana wao siku ya kwanza ndio mtu anachinja ile kitu
   
 10. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wengine tulianza kwa kupiga chabo
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Umo Mkuu... ulikuwa Honeymoon?!! kwa sredi hii naomba umezee komenti zako!!:hail:
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  pamoja broda!...Nilienda kufanya mapinduzi ya kijani...si unajua sera za Mizengo Pinda!
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nasikia ukipiga chambo unapata raha kuliko wanaofanya tendo eti ni kweli?
   
 14. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  We unataka kujua mara ya kwanza ikuwaje iliiweje? Vingine havisimuliki humu kwani ni vya kuchekesha sana. Wengine tulikutana wote wawili tukiwa hatujui kitu. Piga picha hiyo upate jibu.
   
 15. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #15
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mwe jamani sredi nyingine..
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  na kama ulibakwa bado unaruhusiwa kuchangia?
   
 17. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "na kama ulibakwabado unaruhusiwa kuchangia?"

  Mwaga mwaga majamboz, tuelimishe.......changia usibanie.........
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mtu mzima haulizi shimo liko wapi!!
   
 19. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mashimo yapo mengi, kwa mara ya kwanza utataka kujua uanzie na lipi ....au ?
   
 20. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He!!!!!! hii sasa kali.
   
Loading...