FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Nilikua nakula.Nilochukua nadhani ile menyu niliandaliwa spesheli kama mgeni,nami sikufanya ajizi.
Ndiyo ukaamua ufakamie na kujishindilia kabla ya wenyeji hawajakaa mezani? ni upunguani huo.
Nilikua nakula.Nilochukua nadhani ile menyu niliandaliwa spesheli kama mgeni,nami sikufanya ajizi.
Table manners kijijini? Wazazi wangu wenyewe hawazijui sembuse mimi?Tunajifunza kupitia makosa.Table manners ndo ustaarabu? Usukumani hakuna cha karibu ukikuta jamaa wanakula unaliuunga tu na huo ndio ustaarabu uliotukuka kwa watu wa jamii yangu.Alikuwa hajastaarabika wala hana "table manners", utaanzaje kula kabla ya wenyeji na wewe ni mgeni? ni punguani tu afanyae hivyo.
Niliambiwa nijongee mezani nikapate chakula.We ulitaka nikapige nacho picha,nimetoka safari niwasubiri wenyeji wangu mezani mpaka usiku wa manane?.Mara nyingi huwa sina mzaha wala utani linapofikia suala la chakula.Ndiyo ukaamua ufakamie na kujishindilia kabla ya wenyeji hawajakaa mezani? ni upunguani huo.
Niliambiwa nijongee mezani nikapate chakula.We ulitaka nikapige nacho picha,nimetoka safari niwasubiri wenyeji wangu mezani mpaka usiku wa manane?.Mara nyingi huwa sina mzaha wala utani linapofikia suala la chakula.
Table manners kijijini? Wazazi wangu wenyewe hawazijui sembuse mimi?Tunajifunza kupitia makosa.Table manners ndo ustaarabu? Usukumani hakuna cha karibu ukikuta jamaa wanakula unaliuunga tu na huo ndio ustaarabu uliotukuka kwa watu wa jamii yangu.
Ndo ulimwengu ulinifunza na lengo la uzi huu lilikuwa ni kushare visa tunavyokutanana navyo ugenini.Haya ya upunguani,kula uliwe na maadili mema sijui yanatoka wapi?.Dalili zinanionesha we ni mtu mwenye roho mbaya sana,kuanzia sasa nakuepuka kama ebola.Huna maadili mema, lakini asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu.
Kula uliwe! si hauna "utani linapofikia suala la kula".
Nilikua nakula.Nilochukua nadhani ile menyu niliandaliwa spesheli kama mgeni,nami sikufanya ajizi.
Unasound kama yule mjukuu wa bibi nakumbuka alipenda kumwambia dada yake mgeni mwenyewe hana hata pozi ingawaje mwishoni alitokea kunikubali sana na mpaka leo ni mabestee vibaya munoo.
Niliambiwa nijongee mezani nikapate chakula.We ulitaka nikapige nacho picha,nimetoka safari niwasubiri wenyeji wangu mezani mpaka usiku wa manane?.Mara nyingi huwa sina mzaha wala utani linapofikia suala la chakula.
Ndo ulimwengu ulinifunza na lengo la uzi huu lilikuwa ni kushare visa tunavyokutanana navyo ugenini.Haya ya upunguani,kula uliwe na maadili mema sijui yanatoka wapi?.Dalili zinanionesha we ni mtu mwenye roho mbaya sana,kuanzia sasa nakuepuka kama ebola.
Kuzaliwa bush acha tu mkuu,kila kitu unaona maajabu tuu watu wanakugeuza kichekesho chao.Thanx God namimi niko mjini sasa.Sasa hivi sio tu kuwa nina pozi bali hadi swagger.
Na wewe pia nataka nikusanye sahihi 20,000 za wanajf ili kumuondoa jamvini huyu Faiza foxy,ya kwako ya kwanza.Unasemaje?
Ndo ulimwengu ulinifunza na lengo la uzi huu lilikuwa ni kushare visa tunavyokutanana navyo ugenini.Haya ya upunguani,kula uliwe na maadili mema sijui yanatoka wapi?.Dalili zinanionesha we ni mtu mwenye roho mbaya sana,kuanzia sasa nakuepuka kama ebola.
Alikuwa hajastaarabika wala hana "table manners", utaanzaje kula kabla ya wenyeji na wewe ni mgeni? ni punguani tu afanyae hivyo.
Tusimuhukumu haraka haraka namna hii! hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu bila kufundishwa, mwenzetu mazingira na utamaduni wa mezani wa alikotokea ndivyo ulivyo mhakikishia kuwa kile chakula ni cha kwake mwenyewe.tunavyoelewa vijijini huwa tunakula kwa pamoja na ukubwa wa ugali na wingi wa mboga na vitoweo huwa ni vingi kweli kweli (kwa wale wafugaji na wakulima wazuri) sasa ndugu yetu huyu alipo ambiwa "nenda mezani ukale chakula" ni wazi kuwa hii sentensi ilimuaminisha kuwa ni yeye tu ndiye aliye andaliwa kile chakula kwa mujibu wa utamaduni wa alikotokea.kosa ni la wenyeji wake walitakiwa kumuwekea mazingira ya kutokupata aibu maana naamini hata wao walifundishwa hizo mila za kula kwa kujibana siku walipowasili mijini kutokea vijijini. hata huyu mwenzetu alithibitisha kuwa tokea siku ile aliamuua kuwa wa mwisho kufunua hot pot! alijifunza. hata wewe kuna mambo ulikuwa huyajui kuhusu hizo sijui table manners ni umefundishwa au ulijishtukia ukajifunza mwenyewe! uwe na siku njema!
Midlife crisis inamsumbua huyo mwache atakuharibia siku