Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

Nilishawahi kulala sakafuni usiku nina usingizi kilo nyingi afu nilishukia mahali nakutana nao kitandani nikaangusha sakafuni bila kujali baridi......
 
Mungu nisaidie kwa jinsi ambavyo sipendi kero 🥹🥹 Mimi akiingia nzi mmoja ndani situlii hadi nihakikishe nimemtoa. Nadhani kuna namna nina shida kichwani, ile push nayopataga kudeal na wadudu si ya kawaida 🥲

Kuhusu hawa jamaa sijawahi kuwaona, na naomba Mungu waendelee kuniepuka.

Pole sana, kwahiyo umefanyaje?
 
Hao wanapenda asili yao kupenda kujificha sehemu chafu, na ukiona wanaendelea ujue ww uliyewabeba pia sio msafi.!!
Hivi uwe unafanya usafi mara kwa mara sehemu zilizojificha au kupulizia dawa kuna mdudu atakaa hiyo sehemu??
Ukiona umebeba kunguni huko mnakowatoa na ukaenda nao kwako na wakazaliana inatakiwa km familia mjitafakari..!!
Kauli za kijasiri
 
Mungu nisaidie kwa jinsi ambavyo sipendi kero 🥹🥹 Mimi akiingia nzi mmoja ndani situlii hadi nihakikishe nimemtoa. Nadhani kuna namna nina shida kichwani, ile push nayopataga kudeal na wadudu si ya kawaida 🥲

Kuhusu hawa jamaa sijawahi kuwaona, na naomba Mungu waendelee kuniepuka.

Pole sana, kwahiyo umefanyaje?
We are alike. Mimi nikiwa nadni sipendi kuona movement ya mdudu wa aina yoyote. Hata nzi nikimuona tu lazima afe au atoke nje.

Unfortunately ninapoishi sasa hivi ni mlimani na ni jirani na pori kuna miti sana so wadudu ni wengi kipindi cha mvua mpaka vikonokono vinaingia ndani :D. Sema na deal navyo navipiga chumvi na kuvi flush chooni. Ila nimezoea siku hizi kukutana na wadudu sana kutokana na mazingira.

Snake tu ndio sitaki aingie ndani.
 
Oh! Wanataga mayai kwenye maungio ya kitanda au mipasuko/nyufa za mbao za kitanda au kwenye godoro la sponge. Utayaona mayai yake kama vitufe vidogo-vidogo sana vyeupe vilivyopangana pamoja. Sio rahisi kuyakung'uta ili yadondoke. Huwa yameng'ang'ania hapo. Wakianguliwa ndo hapo utajua shughuli yake. Si mchezo- hutolala labda uwe umejidunga k-vant au kitu kinachofanana kama hicho.
Duuh 🤔, sawa mkuu nimekuelewa
 
Nilibeba mbegu Kutoka shule seminary nikapeleka nyumbani chumbani kwangu 😥 nilijuta ata kwenda kusoma seminari Ile ilinichukua miaka miwili ya mahangaiko Mimi na mama yangu jaribu dawa hii.. jaribu hii
Miaka miwili mnateseka na kunguni,????

Mimi kunguni walinitesa siku moja tu, next day maji ya moto kwenye edge za kitanda yaliwahusu. I five days waliisha wote ila kuanzia hiyo siku ya pili niliyopiga maji nililala kwa amani sana.,
 
Back days nikiwa naanza maisha nilinunuaga kwa jamaa yangu kwa 90k, kitanda ambacho normally bei yake ni around 150k

Baada ya kuweka godoro langu na kulala usiku mmoja nilijua kwanini niliuziwa hiyo bei.

Kulikuwa na Kunguni wengi vibaya mno around 1 Million, ilibidi niwaue siku 5 mfululizo kwa maji moto, maana walikuwa wananiudhi mnoo.

In short, Huwa Sishauri sana kununua Vitanda au Godoro Used.
Hii maji ya moto infanya kazi 100% kabla hujalala chemsha maji mwaga kuzunguka kitanda chako linamoishia godoro. hatobaki hata mmoja.,
 
Usiku kuanzia saa nane nimeamka zaidi ya mara tatu na kusikilizia kama kuna sehemu nimeng'atwa au panawasha kama ilivyotokea usiku uliopita; hakuna sehemu yoyote kwenye mwili iliyowasha, pili nikachukua hatua ya kuwasha torch ya simu na kumulika angle zote za godoro na kwenye shuka pia sijamuona mdudu kunguni yoyote. Sasa sijajua yule aliyening'ata usiku wa juzi na kufanikiwa kumuua alikuwa peke yake?🤔 Au niendelee na hatua ya pili ya kumwagia ule mchanganyiko mkuu Lavit ulionielekeza?
Lamomy ushauri wako nao ni muhimu pia😉
 
Kungunin are very smart cause they don't stay far from their food thus why ukilala tu chap bite ukiwasha taa tu unamkuta anamalizia wowoo lake kuingia vichakani au humwoni kabisa.

Wale bwana hawakai Mezani Bali kitandani na Kuta zakaribu na kitanda na kama kuna MTU halali kwenye Kochi humkuti hapo abadani

Sabuni ya unga, mafuta ya taa na chumvi ndo dawa
I have experience about these blood soldiers 😂
 
Bed bugs ni noma. Wazee wa kulala nyumba za wageni, mtawapelekea wake zenu sio magonjwa tu ila na kunguni piano

Nyumba za wageni za 7000 lakini, nalala Nyumba za wageni za kutosha, sijuani na Kunguni wala sijamuona.

Kwa kifupi, kunguni, ukiacha kumtoa maabusu kwa wale wanaoenda kufungwa, mengine ni uzembe sana.
 
Back
Top Bottom