Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,185
- 12,332
Aisee mimi sitosahau, yule dereva sijui alikua kaweka mafuta gani yaani, na yeye ndie alikomalia tupite huko. Sababu ile tumeianza tu rough road pembeni nikaona tope la manjano na harufu ile ikanishinda kabisa. Nakumbuka nilitapika dirishani na sikua na hamu ya kula wala kupita road yoyote tena kwa mwezi mmoja hata yenye lami.
Vp nyie wakuu, ilikuaje kupita rough road kwa mara ya kwanza?
Vp nyie wakuu, ilikuaje kupita rough road kwa mara ya kwanza?