Mara ya kwanza kukutana na mwanaJF

sijawahi kukutana / kuonana na mwana jf yoyote, tutajuana humuhumu ndani kwa avatar na majina yetu ya uongo na kweli
 
Awa watu tumekuwa na ukaribu kwa muda mpaka tukaamua kukutana sio mchezo japo kila mmoja alifika kwenye eneo kwa taadhali kubwa ila mimi sikupata shida make nilikuwa wakwanza ivyo ilikuwa raisi kuwaona.
 
Mimi natamani nikutane na member mmoja tu @MO
 
Mkuu ndo unampoteza kabisa

Atakuja na hii

Reo Nimekutana na member wa JF.
kiukweRi nimefrahi sana tuRikubaRiana siku ya jumamosi kuwa tukutane maaRi, nikweRi Reo tumekutana na iRikuwa bonge Ra furaha. Ninyi watu sana mRiojitoa mhanga nawapongeza sana kwa ujasiri nawahakikishia tutaendeRea kushirikiana kwa raha na shida. Mungu awabari
 
Awa watu tumekuwa na ukaribu kwa muda mpaka tukaamua kukutana sio mchezo japo kila mmoja alifika kwenye eneo kwa taadhali kubwa ila mimi sikupata shida make nilikuwa wakwanza ivyo ilikuwa raisi kuwaona.
Ilikua "raisi" wawapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…