Mara: Watu tisa wakatwa mapanga mgodini

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Watu wasiofahamika wamevamia katika machimbo ya Dhahabu yaliyoko mji wa Magunga na kuwajeruhi wachimbaji kwa mapanga na kuwapora mali mbali mbali.

MWENYE TAARIFA ZAIDI ATUJUZE
 
Back
Top Bottom