Mara wadini, ooh mara wakabila na sasa wachochezi...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mara wadini, ooh mara wakabila na sasa wachochezi...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Straight, Apr 3, 2011.

 1. S

  Straight JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  2Meshawazoea na propaganda zenu... this tym mtaona cha mtema... tafuteni kabisa nchi za kukimbilia baada ya uchaguzi cuz lazima mtaanguka... na 2tawakamata na kuwafunga... wezi wakubwa nyi... hamna huruma hata na watz..
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CRAP FROM CRAPIST! MODS please ondoa huu utumbo hapa kwani hakuna cha kujadili.
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mod futa hii chafu ila usimpige ban
   
Loading...