Nyamabari atasaini jioni baada ya kuona mkono kasainikweli wa kwanza awe nyambari maana naye anaonekana gamba tu
we ndo hujaona vizuri ila nae ametajwa.Mbona hujamtaja mbunge wa Rorya Lameck Airo (CCM)!
Wabunge wa Mkoa wa Mara wameandikiwa ujumbe na wapiga kura wao kuwa wasiposaini karatasi ya kuwatosa Mafisadi basi wasijiite Wabunge.
Na hawana uhalali wa kurudi Majimboni,hiyo imepelekea Mbunge wa Musoma vijijini ku saini haraka karatasi hiyo ili adhabu ya wapiga kura isimshukie,hadi sasa wabunge wa mara waliosaini ni Esther matiko(chadema) Alphaxad Kangi Lugola(CCM) Vincent Nyerere(chadema)Nimrod mkono(CCM) huku ambao bado hawajasaini ni Stephen Kebwe(CCM)
Rosemary Kirigini(CCM)
Stepen Wassira(CCM).
Lameck Airo(CCM)
Gaudentia kabaka(CCM)Esther bulaya(CCM)Nyambari Nyangwine(CCM), Kasi ya shinikizo kutoka kwa wapiga kura inaenea kwa kasi ambapo baadhi ya wa bunge wamekiri kuwepo kwa shinikizo hilo zito kutoka kwa Wapiga kura wao..
Mura habho kweli umebhatia kabhisa kabhisa. Itabhiti ubhate uchi wa moto na kibhoro sha mushere.Wakituma taarifa kwa mbunge wao iko kama hivi"Hiya Umubunge niiga tulatuna usaini etalatansi heyo agachabani kayo Zitto kalutuna waziri mkuu aluho. Ano ola tige kusaini utune aloukuya,ntulatune Umubunge onde kabla ya 2015.
Na kwa taarifa yenu Chama Cha Magamba (CCM) 2015 hakina nafasi Mkoani Mara. Atashinda Mbunge mmoja tu huko Musoma (V)) tu!!!!!!Mara ni makamanda!
Hivi kumbe Mara CCM bado ipo? Du! wabunge wote wa kuchaguliwa CHADEMA ni mmoja tu tena Musoma Mjini.Bila shaka watakuwa wanakienzi chama cha Muasisi na kupiga kelele huku nadhani wanaona chama kinaelekea ndiko siko.
Hivi kumbe Mara CCM bado ipo? Du! wabunge wote wa kuchaguliwa CHADEMA ni mmoja tu tena Musoma Mjini.Bila shaka watakuwa wanakienzi chama cha Muasisi na kupiga kelele huku nadhani wanaona chama kinaelekea ndiko siko.
Mbona hujamtaja mbunge wa Rorya Lameck Airo (CCM)!
Nakuunga mkono asilimia mia ila siyo Ester Bulaya peke yake ni mnafiki bali hata wengine wa magamba na magamba b yani cafu mimi ukiniambia mbaka leo saini 70 hazijafika siamini kwani walivyo kuwa wakali ile siku wakichangia kweli wabunge wa magamba ni wanafiki wakubwa
zimefika75 baada ya mnyaa na mkono kusainitangia jana kama siyo juzi zilikuwa sign 73 sasa cjui wewe hizo taarifa za kuhawa hazijafika 70 umezitoa wapi?
pinda kachafua upepo zaidiWassira labda afe, yeye ni gamba ngingi! Any way hizo presha za nje (external pressure) ni muhimu....asante wana-Mara.