Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

Wabunge wa Mkoa wa Mara wameandikiwa ujumbe na wapiga kura wao kuwa wasiposaini karatasi ya kuwatosa Mafisadi basi wasijiite Wabunge.

Na hawana uhalali wa kurudi Majimboni,hiyo imepelekea Mbunge wa Musoma vijijini ku saini haraka karatasi hiyo ili adhabu ya wapiga kura isimshukie,hadi sasa wabunge wa mara waliosaini ni Esther matiko(chadema) Alphaxad Kangi Lugola(CCM) Vincent Nyerere(chadema)Nimrod mkono(CCM) huku ambao bado hawajasaini ni Stephen Kebwe(CCM)
Rosemary Kirigini(CCM)
Stepen Wassira(CCM).
Lameck Airo(CCM)
Gaudentia kabaka(CCM)Esther bulaya(CCM)Nyambari Nyangwine(CCM), Kasi ya shinikizo kutoka kwa wapiga kura inaenea kwa kasi ambapo baadhi ya wa bunge wamekiri kuwepo kwa shinikizo hilo zito kutoka kwa Wapiga kura wao..

Hivi kumbe Mara CCM bado ipo? Du! wabunge wote wa kuchaguliwa CHADEMA ni mmoja tu tena Musoma Mjini.Bila shaka watakuwa wanakienzi chama cha Muasisi na kupiga kelele huku nadhani wanaona chama kinaelekea ndiko siko.
 
Wakituma taarifa kwa mbunge wao iko kama hivi"Hiya Umubunge niiga tulatuna usaini etalatansi heyo agachabani kayo Zitto kalutuna waziri mkuu aluho. Ano ola tige kusaini utune aloukuya,ntulatune Umubunge onde kabla ya 2015.
Mura habho kweli umebhatia kabhisa kabhisa. Itabhiti ubhate uchi wa moto na kibhoro sha mushere.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
hiyo nimeipenda hatuwezi kuwa na wawakilishi vilaza.


tena wakijipendekeza tu huko dawa yao mawe hao wanaharamu wakubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kumbe Mara CCM bado ipo? Du! wabunge wote wa kuchaguliwa CHADEMA ni mmoja tu tena Musoma Mjini.Bila shaka watakuwa wanakienzi chama cha Muasisi na kupiga kelele huku nadhani wanaona chama kinaelekea ndiko siko.

apolycaripto, CCM walielekeza sana nguvu zao pale Mkoani Mara 2010, walijua kuwa uenda majimbo yote yangeenda Chadema , na hivyo kusababisha sehemu nyingine kushinda, tujipe muda hautaamini 2015... kitachotokea. Na hapa Tarime tulijichanganya sana HILO TUNALIJUA NA HATUNA HAJA YA KURUDIA KUYAONGELEA HAYO TENA, TUNAENDELEA KUHESABU MUDA NA SI VINGINEVYO.
 
Hivi kumbe Mara CCM bado ipo? Du! wabunge wote wa kuchaguliwa CHADEMA ni mmoja tu tena Musoma Mjini.Bila shaka watakuwa wanakienzi chama cha Muasisi na kupiga kelele huku nadhani wanaona chama kinaelekea ndiko siko.

Ni hiviiiiii!!! Haki ya Mama ninakuapia. 2015 hakuna Mbunge atachaguliwa kutoka Mara atakayekuwa anatoka Chama Cha Magamba (CCM). Sana sana huyu Mkono labda anaweza kupenya kwa bahati mbaya. Na mwisho wake ni hiyo miaka 5. Baada ya hapo NCHI nzima ya Mara itakuwa "Liberated zone", nikiazima maneno ya Mh. Zitto Kabwe!!!
 
Wassira labda afe, yeye ni gamba ngingi! Any way hizo presha za nje (external pressure) ni muhimu....asante wana-Mara.
 
Watatoka tu kwanza hakuna Mbunge wa cCm mara tofauti na visenti anafanya mkutano wa hadhara siku hizi
 
Nakuunga mkono asilimia mia ila siyo Ester Bulaya peke yake ni mnafiki bali hata wengine wa magamba na magamba b yani cafu mimi ukiniambia mbaka leo saini 70 hazijafika siamini kwani walivyo kuwa wakali ile siku wakichangia kweli wabunge wa magamba ni wanafiki wakubwa

tangia jana kama siyo juzi zilikuwa sign 73 sasa cjui wewe hizo taarifa za kuhawa hazijafika 70 umezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom