Mara tunataka dhahabu yetu(nyamongo).

...na sisi Ukara tunataka mamba wetu na lile jiwe linalocheza ukiliimbia! ehhee tuone sasa nani kubwa kuliko!!!
:target:
 
Na sisi wakwere tunaitaji JMK awe rais wetu tu
 
Kuvuta Bange bila kula kunaweza kusababisha akili kujamba(Brain fart) na matokeo yake ndio kumwaga ushuzi wa kifikra jamvini.
 
Kuvuta Bange bila kula kunaweza kusababisha akili kujamba(Brain fart) na matokeo yake ndio kumwaga ushuzi wa kifikra jamvini.

bola mie ninaeevuta bange...kuliko wewe unaetoa ny*ma.....ndo maana haufungamani na yoyote anaweza kupiga ny*ma
 
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.

Kumbe na dhahabu husafirishwa ili kutumika Dar!?
 
MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.!!!,majibu yasipopatikana kwa njia ya demokrasia ya kudai fursa ya hali bora ya maisha kwa wananchi,mbona patachimbika.!!!
 
na sis wazaramo hii dar n yetu muondoke wote mrudi vijijin mwenu mtuachie tujivinjari maana folleni mnaijaza nyie sie wala twacheza bao tu.....
 
Mkuu umesahau jeshi kubwa ni kanda ya ziwa...tunaweza wavamia vikandaa vingine na kuvipiga ovyo chezea KaNda MaaLumu
 
na sis wazaramo hii dar n yetu muondoke wote mrudi vijijin mwenu mtuachie tujivinjari maana folleni mnaijaza nyie sie wala twacheza bao tu.....

Hehehe wazaramo hata tukiwaachia dar tukarudi kanda ya ziwa..dar haitaendelea itapitwa na mwanza kabisa...mtabaki na taarabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…