Mara tunataka dhahabu yetu(nyamongo).

Mara tunataka dhahabu yetu(nyamongo).

...na sisi Ukara tunataka mamba wetu na lile jiwe linalocheza ukiliimbia! ehhee tuone sasa nani kubwa kuliko!!!
:target:
 
Na sisi wakwere tunaitaji JMK awe rais wetu tu
 
na sisi wachagga tunataka redio one yetu,itv yetu,capital redio yetu,crdb bank yetu,tra yetu,precion air yetu,bot..yetu ,bia ya kilimanjaro yetu,maji ya kilimanjaro yetu,ambiance club yetu,club billcanas yetu,chuo chetu cha muccobs,chuo chetu cha kcmc,nchi yetu ya kilimanjaro,chuo chetu cha police training.........sasa jiulizeni na sisi tukiamua kufanya hivi mtaishi vipi ...maaana hivi vyote vyetu.....kamoon chezea wachagga wewe.....
Kuvuta Bange bila kula kunaweza kusababisha akili kujamba(Brain fart) na matokeo yake ndio kumwaga ushuzi wa kifikra jamvini.
 
Kuvuta Bange bila kula kunaweza kusababisha akili kujamba(Brain fart) na matokeo yake ndio kumwaga ushuzi wa kifikra jamvini.

bola mie ninaeevuta bange...kuliko wewe unaetoa ny*ma.....ndo maana haufungamani na yoyote anaweza kupiga ny*ma
 
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.

Kumbe na dhahabu husafirishwa ili kutumika Dar!?
 
MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.!!!,majibu yasipopatikana kwa njia ya demokrasia ya kudai fursa ya hali bora ya maisha kwa wananchi,mbona patachimbika.!!!
 
na sis wazaramo hii dar n yetu muondoke wote mrudi vijijin mwenu mtuachie tujivinjari maana folleni mnaijaza nyie sie wala twacheza bao tu.....
 
Aaaaaaah mambo yenyewe ndiyo hivyo, na sisi ( wasukuma, wahaya, wajita, wakerewe, wasubi, wajaluo na ......wajitokeze kwa mshikamano) Tunataka maji yetu ya ziwa Victoria yasipelekwe kokote tunayahitaji kwa ajili ya umwagiliaji na umeme kwenye maporomoko ya mto Kagera. chezea ​Lake Province weye.

Mkuu umesahau jeshi kubwa ni kanda ya ziwa...tunaweza wavamia vikandaa vingine na kuvipiga ovyo chezea KaNda MaaLumu
 
na sis wazaramo hii dar n yetu muondoke wote mrudi vijijin mwenu mtuachie tujivinjari maana folleni mnaijaza nyie sie wala twacheza bao tu.....

Hehehe wazaramo hata tukiwaachia dar tukarudi kanda ya ziwa..dar haitaendelea itapitwa na mwanza kabisa...mtabaki na taarabu tu
 
Back
Top Bottom