Mara paaap...

Huyo bwege hajui lolote
Nimemshangaa sana! Ndo maana kijana kamili anashauriwa kupitia walau JKT ili walau awe na akili timamu!

Sasa mtu anashangaa buti ya komando kuchakaa, sijui anadhani jeshini ni dukani ambapo viatu hutundikwa tu kwa shelf! Kiatu kinafanya kazi haswa, hiyo ni ndula ya kazi sio ya kukatia mauno!

Viva maroon platoon, viva commando battalion!
 
Viva 92kj
 
Wamenikumbusha enzi za msindai pale
 
Yaani tabu tupu, eti anatoa Maelezo namna komandoo anavyotakiwa awe wakati hata refresher course ya mgambo haijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani tabu tupu, eti anatoa Maelezo namna komandoo anavyotakiwa awe wakati hata refresher course ya mgambo haijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mgambo umempa sifa kubwa, hata kozi ya sungu sungu wa bugobogobo naamini hajapitia zaidi ya kurely kwenye masimulizi ya movies zilizotafasiliwa kwenye vibanda umiza! [emoji13] [emoji13]
 
Hahaaa muvi za akina marehemu rufufu!
Kuna mijitu shida tupu mkuu, awaache watu na kazi zao, asidhani kufuzu komando ni maandamano ya insta kila mwenye smartphone anayaweza.

Hapo wajomba walisota kinyama kufuzu hizo medani za komandoo
 
Mbona ana godoro makomandoo huwa warara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…