Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,319
- 6,002
Ulichoandika kina mantiki. Maana haiwezekani mwanafunzi ajibu mtihani kwa kuandika majibu yasiyo sahihi makusudi halafu eti matokeo yatoke akiwa kafaulu. Labda matokeo ya wanafunzi wa shule, eneo au jinsia fulani upikwa ili kuridhisha mtu au kundi fulani la watu wapenda sifa au wanaotaka kukwepa dhana ya uwajibikaji.Kuna hitajika mjadala mpana juuu ya hili Jambo, waandishi wa habari utakuta wanaishia hapo tu, badala ya kwenda had ndani Kabisa kupata ufafanuz Kwa walimu, shule alikosoma, alama alizopata Kwa Afisa Elimu had kwa waziri maaana kuna Dalili kuwa huenda watoto wanafaulishwa na huenda wako wengi Sana waliofaulishwa, hili Jambo ni Kubwa kuliko mnavyofikiri tunahitaji mitihani yake huyu Mtoto iwekwe hadharani kuna, sintofaham kubwa Kwa hizi shule
Sent using Jamii Forums mobile app