Mara moja tu.....!

Ujinga wetu ni kuamini MARA MOJA haitoleta madhara!!!! Hata mimba zisiotarajiwa hupatikana hivi hivi!!! Tubadilike!!!
 
Ujana ni mgumu lkn una raha sana. Ingekua watu wana mioyo ya kukumbuka basi kabla ya mara moja wangevuta taswira ya mgonjwa wa HIV alie kua ktk dakika za mwisho. Ila ndo kwanza maambukizi yanazidi kwa mioyo yetu migumu.

Mungu tusaidie ...... filam ije tu bt sijui kama itasaidia
 
me nasemaga ukimuona mtu anatumia condom mzoefu hasa, ni ngumu jamani, hata kuiwaza mda wa tukio ufikapo, bora mimi sio mdau sana
 
Daaahh aisee vijana sisi tutaangamia sana aisee duuhh....!! sometimes unaachia tu mambo yaende tu..!!!
 
Ndio ugonjwa haswa unaosumbua vijana wa hii karne...sijui watu huwa wanafikiria nini....au ndo mambo ya kichwa kidogo kutawala kichwa kikubwa..
 
Mara moja tu!!!
Hii inaangamiza wote kaka,kuna wanawake waliokuwa salama wakaambukizwa kwenye hiyo mara moja tu!!
Ume sound kama wanawake ndio kisima cha maambukizi wanaume wanaenda kuchota tu kitu ambacho si kweli......
 
Mara moja tu!!!
Hii inaangamiza wote kaka,kuna wanawake waliokuwa salama wakaambukizwa kwenye hiyo mara moja tu!!
Ume sound kama wanawake ndio kisima cha maambukizi wanaume wanaenda kuchota tu kitu ambacho si kweli......
Dada mimi nimeleta kile nilichokiona kupitia hiyo filamu wala mimi si mshiriki wala mtunzi, lakini maoni yako nitayafikisha wa wahusika...
 
Back
Top Bottom