tang'ana JF-Expert Member Apr 3, 2015 11,813 15,078 Nov 3, 2020 #41 witnessj said: Mmmh kweli makatili duuh! Na hawako romantic kabisa, ni ubabe kwa kwenda mbele Huyu wa job yeye kila siku anamzibua mke wake mingumi na miteke, kisa mke kuhoji jamaa kurudi saa 9 usiku every day Halafu linajisifu hapa job ukatili wake ptuu Click to expand... Mambo ya nyumban kwa watu umeyajuaje?
witnessj said: Mmmh kweli makatili duuh! Na hawako romantic kabisa, ni ubabe kwa kwenda mbele Huyu wa job yeye kila siku anamzibua mke wake mingumi na miteke, kisa mke kuhoji jamaa kurudi saa 9 usiku every day Halafu linajisifu hapa job ukatili wake ptuu Click to expand... Mambo ya nyumban kwa watu umeyajuaje?
tang'ana JF-Expert Member Apr 3, 2015 11,813 15,078 Nov 3, 2020 #42 Otterhound said: Hii mijitu ina mambo ya ajabu sana, sijui tuwapelekee alshabab wawanyooshe kidogo!😂😂 leo tena limetokea tukio la mtu kuuwa mkewe na shemeji zake huko bukoba. Click to expand... Acha kuita wenzio mijitu
Otterhound said: Hii mijitu ina mambo ya ajabu sana, sijui tuwapelekee alshabab wawanyooshe kidogo!😂😂 leo tena limetokea tukio la mtu kuuwa mkewe na shemeji zake huko bukoba. Click to expand... Acha kuita wenzio mijitu
Sol de Mayo JF-Expert Member Sep 10, 2016 6,353 5,950 Nov 3, 2020 #43 tang'ana said: Acha kuita wenzio mijitu Click to expand... Kwa sababu ni mikatili na mipumbavu isiyo na imani, acha niite mijitu.
tang'ana said: Acha kuita wenzio mijitu Click to expand... Kwa sababu ni mikatili na mipumbavu isiyo na imani, acha niite mijitu.
Sol de Mayo JF-Expert Member Sep 10, 2016 6,353 5,950 Nov 6, 2020 #45 HARUFU said: Inashangaza Click to expand... Tena co kidogo